The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 3,612
- 9,269
Hapa Rais William Ruto anaimbisha wimbo wa TENZI ZA ROHONI Na. 116 "Bwana u Sehemu yangu" Ikulu kabla ya kuanza kikao...
Ni katika kikao hiki alitamka rasmi kusema;
"...Watanzania, kama kuna mahali tumewakosea, mtusamehe maana si majirani na Biblia - Neno la Mungu Tazama ilivyo vyema ndugu kukaa pamoja..."
Hii ni ndio hekima ya ki-Mungu iliyo ndani ya Rais wa Kenya..
Huyu wa kwetu (Bi Samia Suluhu Hassan) anamwabudu Mungu gani? Mbona ndani yake mwatoka roho ya utesaji na uuaji tu? Huyu anaabudu mungu yupi? Na kwanini alijiita kuwa yeye ni "Chura Kiziwi?" Je, anaabudu mungu Chura Kiziwi huyu?? Hivi huyu anaweza ku - quote hata aya moja tu ya Quaran...?
View: https://youtu.be/bRQ5AetCyyI?si=17esENksPAENdy2J
Hapa👇👇Askofu Josephat Gwajima, akiwajibu madereva wa bajaji na maguta kina Kasheku Msukuma, Jerry Muro, Abbas Tarimba na wabunge wanawake wapuuzi waliojiropokea kule bungeni....
Askofu Josephat Gwajima anasema, yeye hana leseni ya kuendesha maguta wala bajaji. Ana leseni ya kuendesha malori makubwa. Anawasubiri madereva wenzake wa malori waliamushe Dude, kisha yeye alitulize...!
View: https://youtube.com/shorts/vH3MQQJXrDw?si=SSMZgCvsME7hqn5j
Nataka na kutamani sana Tanganyika tupate Rais Mcha - Mungu wa kweli asiye na mawaa...
Je, ni huyu Mch Josephat Gwajima...?
Inawezekana 100%••••••!!