Duuh!! kumbe kiswahili full copy n paste!!

Ngongoseke

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
3,203
1,462
Nlipokwenda libya kumtafuta Seif al-islam ndio nikajua kumbe waswahili hatuna tulichoanzisha hata lugha tumekopa kwa warabu tena kwa kiwango kikubwa mno! Kuna maneno nlikuwa najua yakibantu kumbe ni yao,mfano,
1,Afande
2,Sumu
3,Dirisha

Hebu endeleza na yako unayoyajua!!
Hivi wataalum wetu wa kiswahili kina Prof safari wameshindwa kuleta maneno mbadala ili tutumie lugha yetu kamili bila kuazima?
 
meza
shikamoo & marahaba

Hiyo marhaba naijua charming halafu wao marhaba ndio wanaanza hawana shikamoo'ila marhaba hata mtoto anamwambia mkubwa'marhaba yule mwingine anajibu marhabteni jaribu bongo umwambie mshua marhaba uone
 
Nilisoma form 2,maneno mengi ni ya kiarabu,ongezea leso.Mengine ni ya Kimtang'ata,Kimvita nk.
 
Mkuu lugha nyingi duniani zimekopa maneno toka sehem nyingine, hivyo ucshangae sana kiswahili kuwa na maneno yanayoshabihiana na lugha fulani.
 
Mkuu lugha nyingi duniani zimekopa maneno toka sehem nyingine, hivyo ucshangae sana kiswahili kuwa na maneno yanayoshabihiana na lugha fulani.

Ni kweli mkuu hata warabu wamekopa maneno kwenye lugha kama kihindi na english' mfano ntadhar hili ni kiarab maana yake ngoja au subiri'wahindi wanasema intizaar ikiwa na maana hiyo hiyo subiri' na hata warabu wanasema leimuun yaani limao au ndimu sawa na english lemon'
Hapa nasemea kiswahili kimekopa maneno mengi sana toka kwa kiarabu tena kwenye namba ni 90% za kwao
 
hata wanyakyusa wamecopy na kupaste kutoka kiingereza, maneno kama;
spoon = isupuni
soap = isopo
 
Nlipokwenda libya
kumtafuta Seif al-islam ndio nikajua kumbe waswahili hatuna
tulichoanzisha hata lugha tumekopa kwa warabu tena kwa kiwango kikubwa
mno! Kuna maneno nlikuwa najua yakibantu kumbe ni yao,mfano,
1,Afande
2,Sumu
3,Dirisha

Hebu endeleza na yako unayoyajua!!
Hivi wataalum wetu wa kiswahili kina Prof safari wameshindwa kuleta
maneno mbadala ili tutumie lugha yetu kamili bila kuazima?

Hapo umechapia ndg yangu! neno afande, sumu na dirisha hayana uhusiano na kiarabu kabisaa!
 
Hapo umechapia ndg yangu! neno afande, sumu na dirisha hayana uhusiano na kiarabu kabisaa!

Naishi uarabuni miaka 7 sasa niambie hayo maneno ni ya asili gani'nenda misri uliza afande'waarabu wasema afanda' sumu ni sumu kama kawaida'dirisha linaitwa dirsha' nakuongezea na neno hirizi'wao wanaita harzi ikiwa na maana hirizi
 
Naishi uarabuni miaka 7
sasa niambie hayo maneno ni ya asili gani'nenda misri uliza
afande'waarabu wasema afanda' sumu ni sumu kama kawaida'dirisha linaitwa
dirsha' nakuongezea na neno hirizi'wao wanaita harzi ikiwa na maana
hirizi

Hilo la afande ni asili ya english, likitamkwa "a fine day"
 
Nlipokwenda libya
kumtafuta Seif al-islam ndio nikajua kumbe waswahili hatuna
tulichoanzisha hata lugha tumekopa kwa warabu tena kwa kiwango kikubwa
mno! Kuna maneno nlikuwa najua yakibantu kumbe ni yao,mfano,
1,Afande
2,Sumu
3,Dirisha

Hebu endeleza na yako unayoyajua!!
Hivi wataalum wetu wa kiswahili kina Prof safari wameshindwa kuleta
maneno mbadala ili tutumie lugha yetu kamili bila kuazima?

Kashese, tapeli, nk
mbona kifaransa kina maneno yanafanana na kiingereza?
 
Haya mkuu,pengine ni kweli ntafatilia.

Poa mzee'unajua waswahili wanaokwenda nchi za kiarabu wanawahi sana kujua lugha ya kiarab kwa sababu inaingiliana na kiswahili maneno mengi sana na majina ya vitu pia
 
Kitabu
Barua
Karatasi
Bahari
Ardhi
Tabasamu
Shukurani
Hatima
Karamu
Taarifa
Habari
Durusu
Halaiki
Uma
Sadaka
Sukari
Bashiri
Bashasha
Amri
Dalili
Bandari
Baridi
Baada
Bahashishi
Shuruti
Haya ni machache tu yatokanayo na Arabic!
Yapo kibao, labda kungetangazwa award kwa kuyataja ningeendelea kumimina.
 
Mmh si mchezo bora tungekuwa kama sudan tu tungezungumza kiarabu tu maana full copy
 
Keani haukusoma kiswahili??

Si kimesema vizuri kabisa maneno yamekopwa kutoka kiarabu, sijui kimvita, ki...nini sijui nimesahau nimesoma zamani.........

Sioni cha ajabu unachoshangaa hapa...... kukopa ni muhimu .........................
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom