Duuh, huyu mzee sasa balaa hili..!!!

Asiende pande za Mombasa na republic of UAMSHO, ataliwa MINJINGU:A S-confused1:
 
Haya mambo mengine ni majanga wakubwa kuna mzee mmoja namfahamu ana kitu kama hicho nilivyoulizia nikaambiwa alienda
ujerumani akatumia dawa ya nguvu za kiume badala yake ile dawa ikamuongezea makalio yaani ni hatari sana hivi vitu.
hujafa hujaumbika
 
mhhh huyu mafuta yamekimbilia sehem nzuri!!kheri hapo kuliko maeneo ya tumbo(kitambi) cause most of the important internal organs are there!!!
 
kuna mzee hata mimi niliwahi kumuona maeneo ya kinondoni, duhhh ni balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…