Duuh.. Ety body freedom

Duuh.. Ety body freedom

Nakadi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
7,779
Reaction score
7,376
NoumaH SanA
FB_IMG_15254104373017998.jpg
 
Hmm tunakoelekea itakuwepo siku ya public sex....
 
Wazungu hao si ndiyo wana iQ kubwa zaidi,igeni sasa kuonyesha vipwinto vyenu kwa kadamnasi.
 
Yaani hii body freedom ikija huku kwetu Afrika itakuwa ni visanga tupu kwenda mbele. Tako nyeusi likichapwa na jua rangi huwa ndio inashika kabisa hadi mwishowe linang'aa zaidi ya kiatu cha afande! [emoji38]
 
halafu mtu anaona kila anachofanya mzungu sawa hovyo kabisa, baba zima liko uchi mbele ya watoto kisa freedom
 
Binadamu akishashiba anasumbua sana
 
Nawaza tu hivo viti vya baiskeli wakitoka hapo sijui vitakuwa na harufu gani,
 
Back
Top Bottom