Duu,wanawake wa mjini noooomaaaaaa!!!

Nimeipenda sana logic yako, imenifariji sana!! lol
 
mchajikobe stori hii ni ya kutunga japokuwa nimeipenda, hao jamaa walipita njia gani wakati nyie foleni yenu haiendi lakini wao wanafika na vidumu vya lita 5 kila mmoja nyie mpo tu tehe tehe tehe
 
Last edited by a moderator:
aisee-wanawake wa mjini wengine taabu tupu
 
Mwenyewe nimeshtuka kidogo maana hiyo foleni ya Kinondoni Road kuelekea Manyanya huwa haigandi kiviile. Unless mshikaji alikuwa amepoa sehemu anafuatilia hilo muvi.
 
wajinga ndio waliwao (hana akili aziniye na mwanamke )
 
mchajikobe stori hii ni ya kutunga japokuwa nimeipenda, hao jamaa walipita njia gani wakati nyie foleni yenu haiendi lakini wao wanafika na vidumu vya lita 5 kila mmoja nyie mpo tu tehe tehe tehe

Yaani wewe ndo GREAT THINKER kwelikweli. Keep it up!!!
 
Waa achen tu coz vi dude vyao vitamu sana jaman mmh but ma men tuweni makini bna.
 
mchajikobe stori hii ni ya kutunga japokuwa nimeipenda, hao jamaa walipita njia gani wakati nyie foleni yenu haiendi lakini wao wanafika na vidumu vya lita 5 kila mmoja nyie mpo tu tehe tehe tehe
Aaa,mimi nilikuwa nimeshafika kama unapajua hiyo sehemu ina car wash inatizamana na hugo,ndio nilikuwa nimekaa na washkaji tukiangalia huo mchezo!!
 
Mwenyewe nimeshtuka kidogo maana hiyo foleni ya Kinondoni Road kuelekea Manyanya huwa haigandi kiviile. Unless mshikaji alikuwa amepoa sehemu anafuatilia hilo muvi.
Foleni ilikuwainaendelea kutembea but mimi nilishuka hapo mwembeni na kunadereva tax mmoja nilikuwa naongea naye pale kwenye car wash hukutukiushuhudia huo mchezo!!Kama mnamjua mtuyeyote ambaye ni dereva taxi wa pale mwembeni muulizeni hilo tukio limetokea juzi ijumaa majara ya saa kumi na moja hivi!!!
 
lita 10 na tano za mafuta ni Tshs ngapi? huko ni kujidhalilisha fo sho.

Halafu na wewe mleta habari, kama foleni ilikuwa haisogei, je hao waleta mafuta waliwezaje kufika hapo ilhali nyie mmeganda mnatizama movie ya mlimbwende?

nasubir jibu,,,nimeipenda hii,,,,kuna u-global pablisha hapa
 
demu anabonge la strategy ya kupata mafuta.....ndo zake huyo, haoni hata aibu mbele ya foleni!
 
Mmmmmmhhh...............na wewe, muda wote huo uko kwenye foleni tuuuuuu,hayo magari ya audi, prado na mercedes yaliptaje kwenye foleni, inaonekana ilikuwa foleni kama ya china ile ye 11 kilometres, haya bana, athante kwa taarifa
 
mchajikobe stori hii ni ya kutunga japokuwa nimeipenda, hao jamaa walipita njia gani wakati nyie foleni yenu haiendi lakini wao wanafika na vidumu vya lita 5 kila mmoja nyie mpo tu tehe tehe tehe

umeona enh?hata kama kuna ukweli ni kidogo sana kwingine ameongezea chumvi! Yeye yupo kwenye foleni ila wenzake wanakuja na kuondoka sijui wanapita wapi?! JF bana!
 
Last edited by a moderator:
mchajikobe stori hii ni ya kutunga japokuwa nimeipenda, hao jamaa walipita njia gani wakati nyie foleni yenu haiendi lakini wao wanafika na vidumu vya lita 5 kila mmoja nyie mpo tu tehe tehe tehe

Ni kweli inaweza ikawa story ya kutunga
 
Last edited by a moderator:
Foleni haitembei,lkn magari 3 yaliweza kufika kwa wakati tofauti na wote wakaleta madumu ya mafuta!!Hadithi hadithi,siku nyingine sema wakaja na bodaboda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…