Duu,wanawake wa mjini noooomaaaaaa!!!

King,ninavyomjua mwanamke,ole wako akusaidie kitu siku mkikosana hata kama aliwahi kumnunulia mama yako pea ya khanga atakusimanga nayo tu.
King when it comes to giving mwanamke na mwanaume ni viumbe wawili tofauti kabisa,sisi we always give give and give,ile nyie dah!
 
Last edited by a moderator:
Nilishaishiwa luku nikaomba watu kama watano, ndugu, mpenzi na coleages!
What if wengine ni kaka zake?
 
Bishanga looks like wewe ni muathirika sana wa hii kitu eeh?
 
Last edited by a moderator:
Bishanga looks like wewe ni muathirika sana wa hii kitu eeh?
 
Last edited by a moderator:
Bishanga looks like wewe ni muathirika sana wa hii kitu eeh?
 
Last edited by a moderator:
Bishanga looks like wewe ni muathirika sana wa hii kitu eeh?
 
Last edited by a moderator:
Nilishaishiwa luku nikaomba watu kama watano, ndugu, mpenzi na coleages!
What if wengine ni kaka zake?

Sitakutumia tena hela ukiniambia una shida,kumbe ndo ka mchezo kakoeeeeh!!
 


Jiulize, TUKO WANGAPI???. Chukua hatua
 
lita 10 na tano za mafuta ni Tshs ngapi? huko ni kujidhalilisha fo sho.

Halafu na wewe mleta habari, kama foleni ilikuwa haisogei, je hao waleta mafuta waliwezaje kufika hapo ilhali nyie mmeganda mnatizama movie ya mlimbwende?
 

Mtoa uzi nadhani hapo kwenye bold ndio kilichomsukuma kuandika, sidhani kumpa mpenzi wako 33,600 ni kumhonga hapo jamaa wametelekeza majukumu yao na kila mtu anajijua kwamba yupo mwenyewe. Kuhonga ni pale mtu anapokuwa yupo real kwa mpenzi wake yaani uwezo wako ni 20,000 unampa mrembo 60,000 ili kumridhisha nafsi yake wakati hapo ulitakiwa kumwambia ukweli.
 
Kusimanga ndo asili ya mwanamke, huwa tunajizuia tu kutamka mpaka tuwe tumewachoka kabisa. Yaani hata wewe ukiwa umerudi usiku wa manane, asubuhi mkeo akikuangalia anakumbuka jinsi alipokupenda ukiwa na mashati mawili na pea moja ya kiatu (tena cha plastic). Saa hizi unavaa designer leather boots unajiona mjaanja! Heeh, nshaanza kusimanga!

Point is, kuhonga hata sie tunahonga! Mbona wanaume wanaochukua vyao wakiachana nao wapo?

BAK, njoo best uniwekee ile 'kanunua simu kampa demu walipoachana, kampokonyaaa!'. Natanguliza shukrani.
 
Last edited by a moderator:
Mwanaume akipanga wanawake foleni kuanzia posta mpaka bagamoyo mnaona sawa tuu tena mnamuona kidume, huyo dada kuwapanga hao watatu imekuwa kesi...! Kila mtu ana uhuru wa kuishi maisha yake..!
 
Asili ya kuhonga si yenu,ni siku hizi tu mmeanza kununua vivulana,na vinawasumbua kweli mpaka inatia huruma.
 
Last edited by a moderator:
Nilishaishiwa luku nikaomba watu kama watano, ndugu, mpenzi na coleages!
What if wengine ni kaka zake?

Huenda kweli au yote kweli maana unapokuwa observer unaweza sema huyo malaya kumbe unapopata tatizo unaweza kupiga simu kwa watu wanne tofauti wakusaidie na wote waka-respond ukute alivyokuja wa kwanza akamweleza ukweli kuna jamaa mwingine amekuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…