Duu kweli tumetoka mbali

Huo ni uzushi tu. Hakuna kitu kama hicho. Ila wanapenda kutukaririsha tu mavitu ambayo hata hayakuwepo

Hii ni sawa na pale wanapowaaminisha Mvumbuzi wa ziwa Victoria alikuwa mzungu wakati tayari Wasukuma, Wahaya, Wajita na Wakerewe walikuwa wakiishi pale na kuogelea ziwani.

Wapuuzi sana hawa wazungu.
 
Ukweli ni upi mkuu...?
 
Kwa hoja hiyo.. Kamwe siongezi
 
Kabla ya kuchanganya na zangu hii kitu niliamini nikajua ni kweli kabisa aisee!!!!!
 
Stori za kutunga tu hazina ukweli wowote ule, tafuta ukweli mwingine sio huu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…