Jamaa mmoja alikuwa anasumbuliwa na panya chumban kwake Akawategea sumu kwenye kitimoto, Asubuhi akakuta ujumbe SISI SOTE NI WAISLAMU JARIBU KWENYE SAMAKI!!!
Ilikuwa ni kipindi cha mwezi mtukufu nini? Hata mangi jirani yangu analalamika "biashara ya kiti moto siyo kizuri kipindi cha mwezi mtukufu" Nadhani hata panya kipindi hicho walikuwa wamefunga