Duterte: Nimeisikia sauti ya Mungu

Duterte: Nimeisikia sauti ya Mungu

Msidharau Maneno ya Mtu akiamua kutamka maneno kutoka mdomoni Mwake.. na wala Msimdhihaki... ni Maamuzi ambayo humtokea yeyote akipata ufunuo... Tumejifunza mengi sana na kusikia watu watoao ushuhuda wengi huwa hawajitungii... na mara zote matamko yao huwa ni furaha kwa wafia dini... hupatwa na faraja sana... na Most wale wamkoseae Mungu ndio huwa Mashuhuda Wakuu... Trust Me
Mlaleo katika ubora wake kweli dunia inabadilika.
 
Huyu Rais ni kichaa kamili, sauti ya Mungu kaisikia wapi?
Angelikuwa ameambiwa aache dhambi hapo sawa lakini anadai kasikia tu... huyu lazima wamarekani watamuua tu....
Naona maraisi wenye matamshi ya ajabu ajabu na kuzua mjadala wanaendelea kuongezeka, Durtete, jpm na trumph
 
Kipindi cha miaka ya nyuma UN GENERAL ASSEMBLY ILIKUA ni kasheshe kweli kweli manake walikua wanaingia watu watata kweli...Mara anaingia Ahmed Nejjad anapiga kitu cha moto...kidogo anaingia kamanda Al Ghadaf mara Chavez mara Bob Mgabe sasa hivi pamepoaaaa....sasa huyu jembe kichaa Durtete ndio alikua anakuja kuziba...nae aseme tu ukweli katishwa na US aaidanganye Mungu kamtokea kwann asimtokee amuzuie kuua wauza dawa?
 
1477803880304.jpg

Hivi huyu Jamaa ana undugu na Majaliwa Kassimu Majaliwa wa Tanzania United Republic of?
 
Kipindi cha miaka ya nyuma UN GENERAL ASSEMBLY ILIKUA ni kasheshe kweli kweli manake walikua wanaingia watu watata kweli...Mara anaingia Ahmed Nejjad anapiga kitu cha moto...kidogo anaingia kamanda Al Ghadaf mara Chavez mara Bob Mgabe sasa hivi pamepoaaaa....sasa huyu jembe kichaa Durtete ndio alikua anakuja kuziba...nae aseme tu ukweli katishwa na US aaidanganye Mungu kamtokea kwann asimtokee amuzuie kuua wauza dawa?

Mkuu mbona wakina Federal Castro umewasahau
 
Mlaleo katika ubora wake kweli dunia inabadilika.
Mkuu nilikaa nikaona hamna sababu ya kumuudhi mtu ila kama una neno waeza lisema tu mtu aelewe imani zingine zipoje ni moja ya elimu tunazotakiwa tuzipate... ila upande utakao uelewa waeza komaa nao tu... Nimegundua Wamissionali hawakaulazimisha watu haswa wasio na Dini au wenye imani tofauti japo kuna waliowalazimisha kwa namna moja au nyingine either kunyimwa msaada hadi ukubali...n.k n.k ukisoma historia za dini zipo wazi kuna hadi waliouliwa kwa kupinga n.k kwangu nimeona i don't need kuudhi watu maana wanaoudhika wengi ni wale wasiotaka kufahamu ya ndani kwa sababu wanaamini utafiti wa Imani ulishakamilika hivyo wanaona kudadisi ni jambo la kuudhi... Japo kibinadamu tunasema hatujakamilika we need to know zaidi na zaidi kwani kama walikosea basi hakuna atakayepona... maana kipofu akimuongoza kipofu mwenzie wote watatumbukia Shimoni... me nimechunguza sana ila naona hayana Mwisho... nimeamua kuamini Mungu Yupo ni Imani namaliza so sihitaji kutoa Ushahidi... nadhani umenielewa...
 
Back
Top Bottom