iGodmanhustler
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 609
- 343
Raisi wa Uphilipino ambae nae tayari wameanza kumuita Dikteta baada yakupambana na wauza madawa yakulevya kwa kasi. Ametoa onyo kwa mashirika yanayo chimba madini nchini mwake, hasa kuhusu uchafuzi wa mazingira na kuahidi kuwatoza kodi zaidi kwa kutoa kauli ya 'I will tax you to death'. Ameenda mbali zaidi kwa kuanzisha mpango wakupiga 'stop' usafirishajI wa makinikia kama ilivyo kwa Tanzania kwa sasa. Sekta ya madini nchini humo inachangia 1% tuu ya pato la taifa japokua ndio nchi inayoongoza kwa madini ya Nickel.
More at
Philippines' Duterte warns miners: 'I will tax you to death'
More at
Philippines' Duterte warns miners: 'I will tax you to death'