Steven Robert Masatu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2009
- 2,458
- 1,826
"On Setember 2012 the Dutch Govt and ministry of finance (Tanzania) SIGNED an agreement . . . . . . " blah blah za Netherlands and Netherlands zinaingiaje hapo??!!!
Kama wao ndio wanakiuka why tuandikiwe sie kulalamikiwa juu ya kushindwa kutekeleza makubaliano??!!!
By the way. . . . . . .Things are sour your ways. . . . .,all best na utetezi
Whaaaaat!! Really?malalamiko ya wafadhili yameanza baada ya muhongo kuondoka
Posho ya BMK kwa ajili ya kuondoa vipengele muhimu kwenye rasimu ya pili ya katiba."But since our previous letter dated 29 October 2014, this project has still not commenced," our source quotes Schrofer as saying in a letter to the Permanent Secretary, Ministry of Finance, adding: "ORIO notifies you formally that if no sufficient budget has been available and the project has not started before July 1 this year, ORIO will on the basis of clause 10.4 of the grant arrangement prematurely terminate the arrangement and reclaim the grant already disbursed"
Sasa kama wameshazila kwenye mambo mengine wataweza kuzirydisha hawa majamaa.
Kabisa.Tishio la Serikali ya Netherlands kufuta msaada wao na kuomba kurudishiwa pesa zao ambazo wameshazitoa kwa Serikali ya Tanzania halihusiani chochote na kuwepo au kutukowepo Muhongo.
Kabisa.
Ni miradi mingi itakuwa terminated na wadau wa maendeleo kwa sababu serikali haioneshi kutoa mchango wake kwa wakati. Mmojawapo ni mradi wa maji ya visima virefu wa Kigamboni. Tutayaona mengi sana huu mwaka. JK is the problem. Wamemaliza hazina yote.
Tutanyanyaswa mpaka lini Tz sio inchi ya kuomba 38 billion jamani.
Hope raisi mpya atatukomboa na hili dimbwi la kuomba omba wakati we have kila kitu it takes kuwa donors na sio kama ilivyo sasa
seriously uku ni kuzalilishana tuuUnasamehe kodi ya trilion 1 unaomba msaada wa bilion 38