Barr jana kashemsha vibaya sana manake maswali mengi aliokuwa anaulizwa hata yale straight forward ya kujibu NDIO au HAPANA amekuwa akizungusha maneno na kupiga chenga bila kutoa majibu...
Sikiliza kipande kidogo cha mahojiano hapo chini uniambie kama Barr anajibu maswali anayoulizwa kiufasaha au anazungusha maneno, hata anapoulizwa maswali straight ya YES or NO yeye anazungukaKwa mfano swali gani AG Barr "alizungusha maneno na kupiga chenga bila kutoa majibu"?
Ukimsikiliza vizuri, alikuwa anajaribu kukumbuka "anyone" na kuchambua neno "suggest" kwenye swali la Sen. Kamala. Halafu alivyoanza kujibu "I will say that no one....." Kamala akamkatisha. Mkuu haya maswali sio ya kukurupuka kujibu YES or NO bila kuelewa "context" ya swali.Sikiliza kipande kidogo cha mahojiano hapo chini uniambie kama Barr anajibu maswali anayoulizwa kiufasaha au anazungusha maneno, hata anapoulizwa maswali straight ya YES or NO yeye anazunguka
Ukimsikiliza vizuri, alikuwa anajaribu kukumbuka "anyone" na kuchambua neno "suggest" kwenye swali la Sen. Kamala. Halafu alivyoanza kujibu "I will say that no one....." Kamala akamkatisha. Mkuu haya maswali sio ya kukurupuka kujibu YES or NO bila kuelewa "context" ya swali.
Mkuu haya maswali yalikuwa ni straight forward ambayo kwa mtu ambaye hana cha kuficha hakupaswa kuwa na kigugumizi kuyajibu;
HARRIS: Has the president or anyone at the White House ever asked or suggested you open an investigation into anyone?
BARR: .... ah ...
HARRIS: Seems like something you should be able to answer
BARR: I don't know ...
Ni rahisi kudhani ni maswali "straightforward", ila kwa AG anayekutana na kuzungumza na watu wengi wa White House kuhusu chunguzi mbalimbali anapokutana na swali "has anyone at the White House ever asked or suggested you open an investigation into anyone?," ni swali linalohitaji ukumbuke vizuri. Kwa sababu huwezi kujua anayekuuliza ana ushahidi gani, kwahiyo, huwezi kukurupuka bila kujiridhisha.
Umeweka maswali na majibu ya Sen. Kamala na AG Barr kwenye post #826 ila hujaweka maswali na majibu ya hearing yote, huoni kama una "bias"?. Ina maana hicho ndicho kitu pekee ulichotoka nacho kwenye hearing ya SJC jana?
Trump anaamini kwenye "common sense", kwamba kitu kama kina maana au faida kwanini mtu ukikatae? Kwanini uingize siasa?rump ni mbabe kwa silka na ni mtu aliyedekezwa na utajiri wa familia yao, Trump haamini kwenye kukosolewa bali anaamini kwenye kukosoa wengine hata kama kwa kutumia lugha mbaya. Yeye amekuzwa katika maisha yake kama bwana mkubwa mwenye akili nyingi sana na asiyehojika.
Kuna vitu ambavyo kweli amevifanya ambavyo hamna Rais aliyewahi kuvifanya? Hutaki avizungumzie kwa sababu akivizungumzia itakuwa ni "majivuno" na "sifa"?Ukichunguza hotuba za Trump ni zile zilizojaa majivuno na maneno ya kujaza sifa kuonesha kwamba kila analolifanya hakuna mwinginewe aliwahi kulifanya. Hali hiyo sasa inasemwa imemfikisha kuweka alama ya maneno ya uongo ama yasiyo sahihi aliyoyasema kufika zaidi ya 10,000 hivi sasa.
Lakini hata yeye hakosi wa kumuunga mkono kwani wapo wazungu weupe wa mashambani wenye kuamini kwamba Marekani ni yao peke yao na ni wao tu ndiyo wanaostahili kuitawala. Hao ndiyo wafuasi sugu wa Trump.
Haya unayatoa wapi mkuu? Umeangalia demographics za counties ambazo Trump alishinda ukilinganisha na Hillary mwaka 2016?Trump anaungwa mkono sana na watu wabaguzi wa rangi na dini, watu wasio na elimu kubwa, wafanyabiashara za silaha na mafuta, na wanawake walioolewa wakaao majumbani (House wives).
Watu hao niliowataja wanajali zaidi maslahi ya kiuchumi hata kama haki za wengine hazizingatiwi wala masuala ya Mabadiliko ya tabia nchi yasipozingatiwa. Na ni watu kwa Kiswahili cha kisasa wanaopenda udaku.
Lakini uzuri wa Marekani vyombo vyao haviwezi kuingiliwa moja kwa moja na hata bunge kwa sasa linalaumiwa na wamarekani wengi sana kwa kuingiza siasa za mirengo ya vyama kwenye bunge.
Kwa ivo sio leo wala Kesho suala hili la uchunguzi wa Muller litamalizwa, bali mwisho wake ni pale ama Trump atakavyoangushwa nalo ama litakavyokiangusha chama cha Democratic kwenye uchaguzi wa mwakani.
Trump mpaka sasa anajivunia Mahakama ya Rufaa ya nchi hiyo ambayo imejaa majaji wahafidhina kwani kati ya majaji 9 waliomo 5 ni wahafidhina. Trump Keshaiteka Republican na kuiweka kwapani na hakuna anayefurukuta mbele yake kwenye chama hicho.
Mkuu suala sio kuwa na bias ila nimeweka kipande tu cha mahojiano na Sen Kamala kuonesha jinsi gani AG Barr alivyokuwa anababaika kutoa majibu na kimsingi mahojiano haya yameonesha madhaifu makubwa kwenye ofisi ya AG...
1) Amekiri kwamba hawakuangalia "underlying evidence" kwenye ripoti ya Mueler katika kufikia maamuzi yao kutomshitaki bwana mkubwa kwa obstruction of justice.
2) Amekiri kumshirikisha Rosenstein katika maamuzi ya ripoti ya Mueler wakati Rosenstein alikuwa ni mmoja wa mashahidi kwenye uchunguzi huo huo... na hakufanya jitihada zozote kuconfirm na ethics dept ya DOJ kitu ambacho ni conflict of interest.
3) Hakueleza mwanzoni kuhusu kupokea barua kutoka kwa Mueler mpaka ilipoibuka kwenye vyombo vya habari na ilikuwa inahoji maamuzi yake kwenye barua aliyoandika kwenye congress kumclear Trump.
Haya na mengineyo ni madhaifu makubwa kwa ofisi ya AG ambaye ameonekana kuwa biased na kusimama kama mwanasheria/wakili wa Trump badala ya kusimama kama AG.
Wewe pia uko huru kuweka mahojiano yote hapa jamvini au kuonesha kipande kingine kinachoonesha majibu tofauti ili kijadiliwe pia.
Mkuu Mwalimu , swali limejibiwa au halijajibiwa? YES or NO?
Unahisi kuna kitu kilicho kwenye "underlying evidence" ambacho hakijawa reflected kwenye ripoti ya Mueller? YES or NO?
Baada ya AG wa zamani Jeff Sessions kujitoa kwenye uchunguzi unaohusiana na Russia, Deputy AG Rosentein alianza kusimamia uchunguzi wa Special Counsel Mueller kwa baraka za Congress, Bill Barr alikuwa ni AG mda huo? YES or NO?
Je, kwenye barua ya Mueller kwenda kwa AG Barr kuna sehemu amesema kuwa Barr alipotosha umma? YES or NO?
Unaweza kujibu hili kwa uwazi kuwa Je, AG wa zamani Loretta Lynch alikuwa biased kwenye uchunguzi wa Hillary Clinton? YES or NO?
Je, haya uliyoyaandika humu ndio masuala pekee uliotoka nayo kwenye mahojiano ya jana ya AG Barr kwenye SJC? YES or NO?
Rekebisha swali lako-underlying evidence zimejumuishwa kwenye ripoti ya Mueler lakini AG Bar hakuziangalia wakati anafanya majumuisho yake kwa barua aliyoandika kwa congress kumsafisha Trump. Barr mwenyewe amekiri kutoziangalia hizo underlying evidence.
NO-Swali lililoulizwa sio kuteuliwa kwa Rosestein kabla ya Barr kuingia bali ushiriki wake katika kutoa maamuzi ya mwisho kwenye uchunguzi ambao yeye mwenyewe ni shahidi-CONFLICT OF INTEREST. Na Barr hakuona umuhimu wa kufuatilia hili kabla.
Umesema "barua ya Mueller imeeleza wazi kwamba summary ya AG Barr haijatoa picha kamili ya ripoti ya uchunguzi", ukisoma barua ya Mueller, anamaanisha sehemu za "introductions" na "executive summaries" za Volume I na II. Je, katika "redacted" report ya Mueller aliyotoa AG Barr kwa umma, hizo sehemu zipo? YES or NO?Barua ya Mueler imeeleza wazi kwamba summary ya AG Barr haijatoa picha kamili ya ripoti ya uchunguzi
Hili nashauri uanzishe uzi tofauti lijadiliwe halihusiani na mada hii
Tunaenda vizuri.
Umesema swali halijajibiwa, Je, kwa mfano, ukiulizwa swali halafu ukajibu "hujui" unakuwa hujajibu swali? YES or NO?
Umesema "underlying evidence" zimejumuishwa kwenye ripoti ya Mueller, akitokea mtu akasema "underlying evidence" hazijajumuishwa kwenye ripoti ya Mueller ya kurasa 448 huyo mtu atakuwa muongo? YES or NO?
Unaamini ushiriki wa Rosenstein wa "kutoa maamuzi ya mwisho" na wa "kusimamia uchunguzi" wa Mueller vyote ni ushiriki unaoweza kuwa na "conflict of interest"? YES or NO?
Umesema "barua ya Mueller imeeleza wazi kwamba summary ya AG Barr haijatoa picha kamili ya ripoti ya uchunguzi", ukisoma barua ya Mueller, anamaanisha sehemu za "introductions" na "executive summaries" za Volume I na II. Je, katika "redacted" report ya Mueller aliyotoa AG Barr kwa umma, hizo sehemu zipo? YES or NO?
Hili suala halihitaji kufunguliwa uzi wa peke yake na linahusiana na mada hii. Nauliza tena, Je, kwa unavyoona wewe, AG wa zamani Loretta Lynch alikuwa biased kwenye uchunguzi wa Hillary Clinton? YES or NO?
NDIO-Swali aliloulizwa halikupaswa kukosa jibu kutokana na nafasi yake kama AG. Tatizo lake halikuwa kutojua jibu la swali bali hakuwa tayari kutoa majibu pengine kwa sababu ya uoga au kuficha mambo fulani au kumlinda fulani.Umesema swali halijajibiwa, Je, kwa mfano, ukiulizwa swali halafu ukajibu "hujui" unakuwa hujajibu swali? YES or NO?
Je unafahamu kuwa AG wa zamani Lorreta Lynch katika nafasi yake kama AG ameshawahi kuuliza swali kuhusu uchunguzi kwenye mahojiano na akajibu "hajui"?Taratibu tusichanganye mambo;
NDIO-Swali aliloulizwa halikupaswa kukosa jibu kutokana na nafasi yake kama AG. Tatizo lake halikuwa kutojua jibu la swali bali hakuwa tayari kutoa majibu pengine kwa sababu ya uoga au kuficha mambo fulani au kumlinda fulani.[/B][/I]
YES-Barr mwenyewe amekiri kwamba hakuzipitia underlying evidence zilizopo kwenye ripoti wakati wa kufanya majumuisho yake kwamba hakuna kosa lililofanyika.
Kama Rosenstein "hakupaswa kushiriki kwenye maamuzi katika uchunguzi ambao yeye mwenyewe ni shahidi", Je, aliwezaje kushiriki kwenye kuusimamia huo uchunguzi ambao yeye mwenyewe ni shahidi?YES-Hakupaswa kushiriki kwenye maamuzi katika uchunguzi ambao yeye mwenyewe aliitwa kama shahidi-conflict of interest
Usi-quote barua yote, nataka utafakari barua wewe kama wewe.NO-Soma tena barua ya Mueller hususan paragraph hii: "The summary letter the Department sent to Congress and released to the public late in the afternoon of March 24 did not fully capture the context, nature, and substance of this Office's work and conclusions. We communicated that concern to the Department on the morning of March 25. There is new public confusion about critical aSpects of the results of our investigation. This threatens to undermine a central purpose for which the Department appointed the Special Counsel: to assure full public con?dence in the outcome of the investigations. See Department of Justice, Press Release (May 17, 2017)."
Kumbe ukiondoa barua hii ya tarehe 27 Mueler aliwasiliana na AG office siku mbili kabla kuelezea concerns hizo hizo!
Huu uzi ni masuala yote ya US chini ya Trump. Uchunguzi wa Hillary ulifanyika kabla na wakati wa kampeni za Urais za mwaka 2016. Hillary aliondolewa hatiani na FBI Director Comey wakati wa kampeni yake na Trump. Uchunguzi dhidi ya Trump ulianza kabla hajawa Rais, wakati wa kampeni za Urais na Hillary mwaka 2016, na baada ya kuwa Rais. Kwahiyo uchunguzi wa Hillary unaingia kwenye huu uzi. Kama huna jibu unasema huna, nimekuuliza maoni yako binafsi.Uchunguzi dhidi ya Hillary hauhusiani na uchunguzi uliofanywa na Mueller na kuunganisha katika uzi huu ni kututoa kwenye reli kujadili mambo ya msingi kwenye uchunguzi huu. Hatuwezi kutumia uchunguzi wa Hillary ku-justify kilichofanyika kwa uchunguzi wa Trump hapo itakuwa tunapiga siasa. Ndio maana nimesema hio itengewe uzi tofauti na huu
Je unafahamu kuwa AG wa zamani Lorreta Lynch katika nafasi yake kama AG ameshawahi kuuliza swali kuhusu uchunguzi kwenye mahojiano na akajibu "hajui"?
Majibu ya Lorreta Lynch
Kama "underlying evidence" zimejumuishwa kwenye "full report" ya Mueller, kwanini House Judiciary Committee chini ya mwenyekiti wake Jerry Nadler wali-issue subpoena ya "full report" na "underlying evidence" badala ya "full report" peke yake?
Kama Rosenstein "hakupaswa kushiriki kwenye maamuzi katika uchunguzi ambao yeye mwenyewe ni shahidi", Je, aliwezaje kushiriki kwenye kuusimamia huo uchunguzi ambao yeye mwenyewe ni shahidi?
Usi-quote barua yote, nataka utafakari barua wewe kama wewe.
Barua ya Mueller ilikuja kabla ya kutolewa "redacted report" na AG Barr yenye kurasa 448. Kwenye barua ya Mueller, anasema summary ya AG Barr haija-capture "context, nature, and substance" ya kazi na hitimisho lake kwa maana ya "introductions" na "executive summaries" ya Vol I na II zenye kurasa 19.
Nakuuliza Mwalimu ,Je, Kama AG Barr alikuwa na nia ya kuficha ", kwanini baadae alitoa ripoti kwa umma (redacted) yenye hizo sehemu (kurasa 19) na kila kitu kwenye kurasa 448? Kwanini alimwambia Mueller kuwa anataka kutoa ripoti kwa umma, na kuwa hataki kuitoa ni "piecemeal"?
Huu uzi ni masuala yote ya US chini ya Trump. Uchunguzi wa Hillary ulifanyika kabla na wakati wa kampeni za Urais za mwaka 2016. Hillary aliondolewa hatiani na FBI Director Comey wakati wa kampeni yake na Trump. Uchunguzi dhidi ya Trump ulianza kabla hajawa Rais, wakati wa kampeni za Urais na Hillary mwaka 2016, na baada ya kuwa Rais. Kwahiyo uchunguzi wa Hillary unaingia kwenye huu uzi. Kama huna jibu unasema huna, nimekuuliza maoni yako binafsi.
Pia, unamaanisha nini unaposema "Hatuwezi kutumia uchunguzi wa Hillary ku-justify kilichofanyika kwa uchunguzi wa Trump"?
Kama "underlying evidence" zimejumuishwa kwenye "full report" ya Mueller, kwanini House Judiciary Committee chini ya mwenyekiti wake Jerry Nadler wali-issue subpoena ya "full report" na "underlying evidence" badala ya "full report" peke yake?
Bunge wamedai full report baada ya barua ya majumuisho kutoka kwa AG kwenda bungeni iliyotoa hitimisho kwamba hakuna kosa lililofanyika wakati ripoti imeonyesha mapungufu mengi. Na hii imethibitishwa sasa na barua ya Mueler inayoonesha wasiwasi huo huo juu ya upotoshwaji wa barua ya Mueler. Na ndio maana bunge sasa wanataka kumhoji Mueler mwenyewe awape his side of the story.
Kama Rosenstein "hakupaswa kushiriki kwenye maamuzi katika uchunguzi ambao yeye mwenyewe ni shahidi", Je, aliwezaje kushiriki kwenye kuusimamia huo uchunguzi ambao yeye mwenyewe ni shahidi?
Barr akiwa ndio bosi wa DOJ alipaswa kuhakikisha kwamba Rosestein amekuwa cleared kuhusu conflict of interest kabla ya kumhusisha kwenye kufanya maamuzi juu ya ripoti. Lakini hakufanya hivyo....
Usi-quote barua yote, nataka utafakari barua wewe kama wewe.
Barua ya Mueller ilikuja kabla ya kutolewa "redacted report" na AG Barr yenye kurasa 448. Kwenye barua ya Mueller, anasema summary ya AG Barr haija-capture "context, nature, and substance" ya kazi na hitimisho lake kwa maana ya "introductions" na "executive summaries" ya Vol I na II zenye kurasa 19.
Sijaquote barua yote nimeweka kipande tu cha barua... labda utueleweshe wewe umeelewa nini kwenye sentensi hii The summary letter the Department sent to Congress and released to the public late in the afternoon of March 24 did not fully capture the context, nature, and substance of this Office's work and conclusions [I/]
Nakuuliza Mwalimu ,Je, Kama AG Barr alikuwa na nia ya kuficha ", kwanini baadae alitoa ripoti kwa umma (redacted) yenye hizo sehemu (kurasa 19) na kila kitu kwenye kurasa 448? Kwanini alimwambia Mueller kuwa anataka kutoa ripoti kwa umma, na kuwa hataki kuitoa ni "piecemeal"?
AG alikuwa anawajibika kisheria kuwasilisha ripoti bungeni lakini kabla ya kufanya hivyo aliwaandikia barua ya majumuisho ambayo kimsingi alikuwa anamclear bwana mkubwa kwamba hakuna kosa lililofanyika. Bunge baada ya kusoma ripori (redacted) wamegundua mapungufu mengi tofauti na conclusion ya Barr na ndio moja ya sababu ya kumuita jana kumhoji.
Huu uzi ni masuala yote ya US chini ya Trump. Uchunguzi wa Hillary ulifanyika kabla na wakati wa kampeni za Urais za mwaka 2016. Hillary aliondolewa hatiani na FBI Director Comey wakati wa kampeni yake na Trump. Uchunguzi dhidi ya Trump ulianza kabla hajawa Rais, wakati wa kampeni za Urais na Hillary mwaka 2016, na baada ya kuwa Rais. Kwahiyo uchunguzi wa Hillary unaingia kwenye huu uzi. Kama huna jibu unasema huna, nimekuuliza maoni yako binafsi.
Uchunguzi dhidi ya Hillary ulifanywa na FBI ambao mwishoni walifikia conclusion kwamba hakuna makosa, sasa whether walikuwa sahihi au la hilo ni suala lingine. Uchunguzi dhidi ya Trump umeanza 2017 baada ya uchaguzi ukisimamiwa na special counsel Bob Mueler kwa utaratibu tofauti na ilivyokuwa kwa Clinton... kama unataka tuzungumzie connection basi tuzungumzie pia ushahidi uliotolewa na Comey mbele ya Mueler ambao kimsingi umemkaanga bosi wake wa zamani.
Pia, unamaanisha nini unaposema "Hatuwezi kutumia uchunguzi wa Hillary ku-justify kilichofanyika kwa uchunguzi wa Trump"?
Swali aliloulizwa Loreta Lynch linafanana na aliloulizwa Barr?
Ungetusaidia sana kama ungeweka hapa swali zima aliloulizwa na jibu alilotoa... Na kwa nini tutumie jibu la Lynch kama justification kuhalalisha alichojibu Barr? Kulikuwa na ugumu gani kwa Barr kujibu swali aliloulizwa?
Naona na wewe unataka kulisha wana JF matango pori. Kwa ambao wameweza kusoma ripoti yote na underlying evidence wameona wazi kabisa kwamba ugomvi wa Mueller na Barr ni hatua ya Barr kutoa maelezo ya uongo. Barr hakusoma yote na mengi aliyoulizwa jana alikuwa akiyasikia kwa mara ya kwanza na yalimtisha kidogo."[Mueller] has not said that he conducted the investigation in order to turn it over to Congress...That would be very inappropriate, that is not what the Justice Department does."
"I don't think Bob Mueller was suggesting the next step was for him to turn this stuff over to Congress to act upon,....That's not why we conduct grand jury investigations."
"I think that if he [Mueller] felt that he shouldn't go down the path of making a traditional prosecutive decision, then he shouldn't have investigated,...That was the time to pull up."