Duru za siasa: Chama cha ACT-Wazalendo Mpini wa CCM kumaliza upinzani(?)

Nitashukuru sana kama vipande hivi vya maoni yako ungeviongezea na mifano ili kurahisisha tuelewe kwa ufasaha maoni yako. Natanguliza shukrani.
 
Tawire
Matokeo yake tunarudi nyuma
Kwa kasi
tunajenga taifa la ndio mzee, si la hoja tena bali vitisho, Taifa ambalo mawazo kinzani yanapewa tafsiri ya uadui, Taifa ambalo mtu kutoa maoni yake anafikiria mara mbili mbili.
Mkoloni ana tabasamu, akiuliza lile swali tutajibu nini?
Taifa ambalo maongezi ya kawaida kabisa yanarekodiwa na kusambazwa,
Na bado watu wanasema wapo huru!
2020 katika uchaguzi mkuu tukibahatika kupata hata wabunge 5 wa vyama vya upinzani basi itakuwa ni bahati ya mtende.Hayo ndo matokeo ya taifa la ndio mzee'
'Nikusikie unamtangaza Mpinzani kashinda''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…