Duru za siasa: Chama cha ACT-Wazalendo Mpini wa CCM kumaliza upinzani(?)

1)...mawazo kinzani yanapewa tafsiri ya uadui, Taifa ...2)...ambalo maongezi ya kawaida kabisa yanarekodiwa na kusambazwa, Taifa ambalo viongozi wanategemea mtu mmoja ndo awe.muamuzi wa kila kitu kwa kuogopa/kudhubutu kuchukua maamuzi ambayo hata mbeleni wakiulizwa basi wanaweza kusimama na kuyatetea. .....
Nitashukuru sana kama vipande hivi vya maoni yako ungeviongezea na mifano ili kurahisisha tuelewe kwa ufasaha maoni yako. Natanguliza shukrani.
 
"Alinda, post: 32292022, member: 11140"]
Kabla Mwenyezi Mungu hajanichukua nilitamani kuona tunazalisha taifa la vijana wa kuhoji, vijana ambao si wa ndio mzee, vijana ambao si wapiga goti kwa watawala bali vijana ambao wanaheshima, busara na hekima lakini hapo hapo vijana ambao wanaweza kuhoji, kujenga hoja za msingi kwa manufaa ya taifa lao.
Tawire
Matokeo yake tunarudi nyuma
Kwa kasi
tunajenga taifa la ndio mzee, si la hoja tena bali vitisho, Taifa ambalo mawazo kinzani yanapewa tafsiri ya uadui, Taifa ambalo mtu kutoa maoni yake anafikiria mara mbili mbili.
Mkoloni ana tabasamu, akiuliza lile swali tutajibu nini?
Taifa ambalo maongezi ya kawaida kabisa yanarekodiwa na kusambazwa,
Na bado watu wanasema wapo huru!
2020 katika uchaguzi mkuu tukibahatika kupata hata wabunge 5 wa vyama vya upinzani basi itakuwa ni bahati ya mtende.Hayo ndo matokeo ya taifa la ndio mzee'
'Nikusikie unamtangaza Mpinzani kashinda''
 
48 Reactions
Reply
Back
Top Bottom