Duplicators za kukopy CD

Duplicators za kukopy CD

vicent01

Senior Member
Joined
Nov 18, 2018
Posts
100
Reaction score
94
Habari wakuu.

Kuna business nimepanga kuanza biashara ya kukopy na kuprint CD, kutengeneza vitabu vidogo vidogo nk.

Sasa leo nimeingia Kariakoo kununua duplicators nimekosa wanasema adimu sababu ya kipindi cha nyuma wasanii wa bongo movie walipozingua.

Sasa naomba kujua je inawezekana kuburn DVD mbili at the same time kwenye computer moja yenye DVD drive mbili?

Au kuna mtu anajua naweza pata wapi DVD duplicators, msaada jaman na kwa wenye utaalam zaidi kwenye haya mambo jinsi ya kufanya maana target yangu sio library ndogo nataka niwe nauza jumla na rejareja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
order aliexpress mkuu kuburn cd kwa pc kwa ajili ya biashara itakuchukua muda sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom