Duniani kuna Vingi.

Duniani kuna Vingi.

Madame B

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2012
Posts
31,841
Reaction score
37,579
Jionee mwenyewe,
maajab.jpg
 
hawa walikuwa twins but process yao ya kuseparate haikuwa complete. like cell division haikuwa complete. lord have mercy.

namuona baba yao na mama bado hawajakata tamaa na mabinti wao. wanawafeed wamewavesha, na bado wanawakumbatia kwa upendo.
 
hawa walikuwa twins but process yao ya kuseparate haikuwa complete. like cell division haikuwa complete. lord have mercy.
Wakati mwingine mgawanyiko wa seli inakuwa umekamilika (complete cell division) ila seli za stemi za pacha mmoja zinazitafuta za pacha wake na kujiunganisha (fusion process), ndiyo maana unakuta mapacha hawa wanakuwa kwenye mfuko mmoja (amniotic sac) na kutumia plasenta moja.
 
nashukuru kwa hili somo, i was doubting about it sasa ninaona ni mda wa mm kulifanyia kazi kwenye google.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom