Duniani kuna mengi sikutegemea hili kunipata

Dah nimeumia sana. Pole sana kaka. Mungu akupe faraja
 
Huyu kijana nimejaribu kumtafuta tangu jana ili niweze kumpa msaada wangu wa ushauri kwanza halafu baadae nimpe mchango wangu wa pesa, ajabu ni kwamba simu yake haipatikani.

Ninajua unapitia huu uzi kimya kimya, nikushauri tu kwamba, "Kwenye jambo nyeti kama hili(kama sio utapeli) unatakiwa uwe hewani kwa muda wote kijana".
 
Mkuu Mungu akuzidishie kwa moyo ulionao wa kusaidia
Mleta uzi fanya uweke vielelezo ili uweze kusaidiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…