Naungana na wewe...Anahitaji pia pesa ya huduma ndogo ndogo kama sabuni, chakula, usafiri nanmavazi.
Atafute namna ya kuthibitisha hii taarifa yake, wengi wakijiridhisha watasaidia sana. Kwa hivi ilivyo ngumu kwa watu wengi kuchangia kwani dunia imekuwa ya watu wadanganyifu sana.
Hapo sasa. Watu wanataka uhakika na kujiridhisha kwamba kweli anahitaji huo msaada?Aiseee! jamaa hapokei simu