Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,174
Yes mkuu,ahsante kwa kunikumbuka!!Mkuu hivi we ndo uliletaga ile story ya mjeda...
Mkuu hivi we ndo uliletaga ile story ya mjeda...
Yes mkuu,ahsante kwa kunikumbuka!!
Mkuu CHAI CHUNGU msaidie kiongozi Konda wa bodaboda
Hapa ni mwendo wa kushangaa tuu!!!! Si dhani kama atatokea mtu atuambie kesha wahi fika hapo.
Niliwah kuona kitu kama icho dubaimall
Panafaa kwenda na mwanamke mliyechokana... Anashangaa samaki wee baada ya nusu saa unamwambia haya tusepe