Wapi ipo hii
Dubai hiyo.
Hapana, ila ni moja ya sehemu ghali sana, kuna hotel ambazo zipo chini maji kama unavyoona pichani hapo.Bei yake unaijua...
Hapana, ila ni moja ya sehemu ghali sana, kuna hotel ambazo zipo chini maji kama unavyoona pichani hapo.
unapata chai ya rangi na vitumbua
naskia hata Zanzibar IPO?
Hapo ni nchini malta!!!!