Duniani kuna mambo

Duniani kuna mambo

mamsapkhan

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
843
Reaction score
267
Jamani wana JF karibuni tucheke ni hivi ktk kupiga soga shosti wangu alinipa kituko eti alikutana na mwanaume wa kihindi sasa akamtongoza wakaenda kwake kwaviel mke alikuwa safari lakini cha kushangaza mwanaume alimweka wazi kwamba yeye anaomba anyonywe tu sababu waliapishana na mke wake quraan wakati wanafunga ndoa kwamba mmoja wao akithubutu kuingiza naniliu tu kwengine afe rafiki yangu amemfanyia kama mara tatu amechoka amesamehe hela jamani hii si zaidi ya kituko?
 
Kuchuma mno majani mnachuma mpaka yasiyoliwa sasa!!
Ila rafikiyo naye ana guts! Nyumbani kwa mtu na amekwambia ameoa,hah!!
 
Sasa huyo mhindi alikuwa anataka kuchovya huku anaogopa kufa?
 
Wewe unaona linachekesha hili?wakati linahuzunisha yaani rafiki yako anakuwa mtumwa wa hela?mpe ushauri aache kuna magonjwa mengi sana
 
So huyo rafiki yako aliporudi kwny danguro lenu alikusimulia kilichojiri huko?
 
Huyu mhindi alikuwa anamfwatilia muda mrefu kwa ahadi kibao ndo cku hiyo akaona akamsikilize ndo kufika na kuona hicho kituko akavumilia akijua labda atabadilika kumbe ndo tabia yake
 
Yap yy yuko ofisi binafs na mm nafanya kaz kampun flan
 
Kwani nimezungumzia danguro ht yy mwenyewe amejitutia nafs yake so alivyokuwa anahadithia nikaona niilete huku ili kusikiliza mawazo ya wengine kama kuna watu wa dizain hii .miku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom