Duniani kumbe bado kuna watu wema, inafikirisha sana

Begi lina vitu vya thamani ya 4M na wewe unarelax tu umeliweka kwenye carrier unalala usingizi? How stupid of you mkuu? Umejifunza kitu?

Here are your options:

1. Pakata begi
2. Weka miguuni kwako. Likichafuka so what?
3. Weka kwenye carrier ila liwe ndani ya field of view yako bila kugeuza shingo. Maana yake weka kwenye carrier ya upande wa kinyume na siti ulizokaa kwa mbele kidogo ya siti uliyokaa. Kama umekaa kushoto weka kwenye carrier ya kulia siti mbili mbele and vice versa. Mkanda mmoja wa begi lako uning'inie ili ulitambue kirahisi.

Anaposhuka mtu / anaposogea kwenye carrier we unapiga jicho bila kugeuza shingo kuhakikisha usalama wa begi lako.
We ninmpumbavu kweli, kwahiyo unafikiri ukimtukana au ukitumia maneno ya kejeli ndio itasaidia nini zaidi ya watu kama mimi kuja kukuvamia na kukuongezea matusi mengine na kuharibu siku yako tu, watu kama nyinyi mpo wengi humu JF na dawa yenu ni hii hii, ni nyundo juu ya nyundo pumbavu kabisa.
 
We ninmpumbavu kweli, kwahiyo unafikiri ukimtukana au ukitumia maneno ya kejeli ndio itasaidia nini zaidi ya watu kama mimi kuja kukuvamia na kukuongezea matusi mengine na kuharibu siku yako tu, watu kama nyinyi mpo wengi humu JF na dawa yenu ni hii hii, ni nyundo juu ya nyundo pumbavu kabisa.
piga nyundo mkuu nyundo nyundo nyundo juu ya nyundo
 
BAK Hamisa hapo Bergen alinikaribisha nikaishi naye na hakunidai chochote miezi miwili sikuwa hata na sehemu ya kulala. Lile group lao hatarii tulikuwa tunapiga cha Arusha vibaya sana. Kuna besti yake mnorge alichomoa pistol flan nakuingiza risasi nikamuwahi maamae maana tulikuwa high kichiz. That was early 2010. Dah Hamisa siku nyingi najua hata amenisahau
Hamisa mobetto
 
Curiosity killed the cat. Usingefungua ingekuwa such a beautiful story.

Ukifungua ukakuta nyara za serikali je? Na ofisini kuna camera? Utakuja kuisaidia polisi mkuu.

Ila hata mimi ningefungua
Camera ingesaifdia ushahidi kwamba begi liliiachwa na wageni ofisini, bado ningekua kwenye safe side, ila bado nna swali ambalo huwa sina majibu, sijuo wale watu walikua wanamtafutia nini Director, i mean purpose of their visit? Anyway its non of my business by the way
 
Nitakupa mfano: Tuseme umetembelewa na mgeni unayemuheshimu sana na kumthamini. Unamuandalia chakula ambacho unaona kwa nia njema kabisa, ni chakula cha heshima na kwa watu wa heshima. Unamkaribisha mgeni kwa bashasha kabisa na furaha ya kuridhika. Mgeni akiangalia, daa! Kwa kweli chakula kinavutia mnoo!! Anaomba maji ya kunawa, daa!! huku macho yanakitazama chakula. Anasifia: "Daa!! nyama imenona hii!! " Anauliza: "Ni kidali au mbavu?" Unajibu: "Aaa! hapana, ni nyama ya nguruwe ambaye nilimfuga Mimi mwenyewe, nimeamua kumchinja kwa ajili yako". Ghafla, unaona sura ya mgeni wako imebadilika!!. Anaacha kunawa. Unashangaa na kuuliza: " Vipi tena?" Anakujibu: "Samahani, Mimi situmii nyama hii" Unauliza: "Kwa nini?" Anakujibu: "Mimi ni Mwislamu"
SWALI: Je, mtu huyu atakuwa anaitangaza dini yake au anafuata, kuheshimu, na kushika kanuni na maelekezo aliyofundishwa na dini yake?
Akapango kanunu...
 
Hiyo hela ulikuja kuifanyia nini
Nilifika nyumbani nikamsimulia Mr kila lililojiri mpaka nikapeea hiyo pesa, bakumbuka ndio tulikua tunamalizia nyumba yetu ili tuhamie,tukaonfezea tukaenda zetu orca deco tukanunua furniture za ndani na some decorations
 
Camera ingesaifdia ushahidi kwamba begi liliiachwa na wageni ofisini, bado ningekua kwenye safe side, ila bado nna swali ambalo huwa sina majibu, sijuo wale watu walikua wanamtafutia nini Director, i mean purpose of their visit? Anyway its non of my business by the way
Hukujua ni watu nchi gani, na kampuni yenu haikuhusiana na mambo ya madini hata ujiulize nia yao na mkurugenzi wenu?
 
Mr alikuamini?
Hakuwa na sababu ya kutokuniamini kwa sababu ile siku ambayo wale wageni waliacha kibegi ofisini nilimsimulia na nikamwambia uamuzi wangu wa kuwapigia kesho yake ili kuwaambia waje wachukue mzigo wao,

Kwa hiyo niliporudi na hela, nilimwambia what happened baada ya kauwapigia wale wageni na hela wamenipa kama shukrani

Aliniambia tu usizoee kupokea pesa za watu, kama umefanya jambo jema ni nia yako kutoka moyoni na si ili binadamu wa kushukuru..
 
Hukujua ni watu nchi gani, na kampuni yenu haikuhusiana na mambo ya madini hata ujiulize nia yao na mkurugenzi wenu?
Wale watu ni wahindi au watu wa Asia sema wanaishi Canada, sijui nia yao ya kuja pale ofisini lakini nilimsimulia Director everything that happened na nikampa business cards za hao watu, na yeye aliangalia tu business cards hakujibu chochote kasema tu asante sana

Ofisi yetu ilikua haihusiani na madini hata kidogo ndio maana na mimi nikapata maswali kichwani, labda walikua na shida nae personal na sio official
 
Mie nilimtumia kwa bahati mbaya jamaa 450,000 kwa bahati mbaya na nikaja fahamu lisaa mbele kumpigia akanambia bro nna matatizo sana na hela yako nimeitumia ila usiwaze ntarudisha.

Baada ya wiki 2-3 jamaa akanirudishia ile hela, hadi leo ni jamaa yangu na tulikuja onana.
Mimi kuna jamaa alinitumia hela kimakosa kama laki tatu sikujua akanipigia mwenyewe akaniambia nimrudishie hata laki mbili na nusu ama laki mbili ikiwezekana huku akinisisitiza...
nikamwambia asubiri lisaa limoja......
nilikuwa nadrive.....
akanitumia SMS ya kulaani....
nilipokuja kuseto nikamrushia laki nne na kwa kuchelewesha.... mpaka Leo jamaa amakuwa rafiki though hatujawahi onana ana kwa ana....
 
Hana haja ya kuendelea kufanya ibada kwani hata akiua watu wote duniani bado madhambi yake hayawezi futa wema aliokutendea
 
Back
Top Bottom