Duniani hakuna watu wanafiki kama waarabu

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
7,308
Reaction score
6,385
Najua waarabu-koko mtanipinga na wote mnaowaramba miguu magaidi!!!

Jana Misri imelaani vikali kupitishwa kwa sheria ya adhabu ya kifo kwa magaidi katika Bunge la Kitaifa Knesset (Bunge la Israeli).

Ni Muhimu kutambua kwamba nchini Misri, adhabu ya kifo imewekwa katika vitabu vya sheria kikatiba.

Mnamo 2021, kulingana na data ya Amnesty, Misri iliwaua watu wasiopungua 83 (data kamili imefichwa na haipatikani kwa umma).

Mnamo 2024 Misri iliwahukumu kifo watu 504 na adhabu hizo zilitolewa nchini Misri na zote zilitekelezwa!!

Jana Israel nayo ilipitisha sheria ya kuwanyonga magaidi wote leo Misri imelalamika sana juu ya uamuzi huo wa Israel

Hii ndiyo inaonyesha wazi waarabu ni wanafiki kupitiliza!!
 
Attachments

  • IMG_20260331_133001_625.jpg
    IMG_20260331_133001_625.jpg
    150.3 KB · Views: 2
Najua waarabu-koko mtanipinga na wote mnaowaramba miguu magaidi!!!

Jana Misri imelaani vikali kupitishwa kwa sheria ya adhabu ya kifo kwa magaidi katika Bunge la Kitaifa Knesset (Bunge la Israeli).

Ni Muhimu kutambua kwamba nchini Misri, adhabu ya kifo imewekwa katika vitabu vya sheria kikatiba.

Mnamo 2021, kulingana na data ya Amnesty, Misri iliwaua watu wasiopungua 83 (data kamili imefichwa na haipatikani kwa umma).

Mnamo 2024 Misri iliwahukumu kifo watu 504 na adhabu hizo zilitolewa nchini Misri na zote zilitekelezwa!!

Jana Israel nayo ilipitisha sheria ya kuwanyonga magaidi wote leo Misri imelalamika sana juu ya uamuzi huo wa Israel

Hii ndiyo inaonyesha wazi waarabu ni wanafiki kupitiliza!!
Kungekuwa na tatizo gan kusema Waarabu wa Misr?
 
Waislamu ndo walivyo unafiki ni jadi yao
 
Israel kutaka kunyonga wauaji kelele kila kona ya waarabu na waislamu.
Wauaji ni kina nani hao? Mfano askari wa Israel waliouwa watoto zaidi ya 200 huko Iran nao wanahesabika wauaji? Au wale waliouwa watoto zaidi ya 10,000 huko Gaza nao ni wauaji?

Tatizo hizi sheria wanatungiwa wale tu ambao serikali ya Israel itasema ni wauaji sio wauaji WOTE. No wonder askari wa ISIS ambao tunaambiwa ni magaidi hatari walikua wanatibiwa na serikali ya Israel huko Golan heights kupindu cha vita ya kumng'oa Assad ila cha ajabu akikamatwa mtu wa Hamas ataitwa gaidi ila ISIS anaachiwa huru!!
 
Wale waliouliwa Oct 07,2023 hawakuwa watu? Je siku hiyo watoto hawakuuliwa huko Israel?
Unavamia watu na ukipigwa una Play victim na kusingizia watoto kuuliwa!!
 
Kwahiyo hamas wanachofanya ni halali kikifanywa na Israel? Yaani serikali ibake raia kisa mnaoita magaidi huwa yanabaka pia? Ndio utetezi gani huo? Serikali ina behave kama kikundi cha kigaidi??

Haya leo hii wamekufa wanawake na watoto 70,000 ilihali hamas bado ipo na imechukua tena control ya Gaza. Why wasingemaliza hamas wote na waache raia??
 
Wauaji ni kina nani hao? Mfano askari wa Israel waliouwa watoto zaidi ya 200 huko Iran nao wanahesabika wauaji? Au wale waliouwa watoto zaidi ya 10,000 huko Gaza nao ni wauaji?

Tatizo hizi sheria wanatungiwa wale tu ambao serikali ya Israel itasema ni wauaji sio wauaji WOTE. No wonder askari wa ISIS ambao tunaambiwa ni magaidi hatari walikua wanatibiwa na serikali ya Israel huko Golan heights kupindu cha vita ya kumng'oa Assad ila cha ajabu akikamatwa mtu wa Hamas ataitwa gaidi ila ISIS anaachiwa huru!!
Kitu ambacho umemiss ama Watu hawajaelewa hio Sheria inahusu waarabu Tu ndani ya Israel, Muisrael akiua haimhusu.

Mfano wake ni Kama Tanzania Raisi apitishe Sheria Mchaga akiua ananyogwa Ila mmasai ama mzaramo akiua hanyongwi.
.
There is a reason kwanini Dunia nzima including washirika wao wa Ulaya walipinga hio Sheria. Na hata wakati inapitishwa waziri akawapiga vidongo Ulaya kwamba wanapitisha with or without them.
 
Kwahiyo hamas wanachofanya ni halali kikifanywa na Israel? Yaani serikali ibake raia kisa mnaoita magaidi huwa yanabaka pia? Ndio utetezi gani huo? Serikali ina behave kama kikundi cha kigaidi??

Haya leo hii wamekufa wanawake na watoto 70,000 ilihali hamas bado ipo na imechukua tena control ya Gaza. Why wasingemaliza hamas wote na waache raia??
Anayekudanganya kuwa Hamas Wamechukua Gaza yote Nani? Mmeanza upotoshaji tena kwa Magaidi wa Hamas ambao mliwasifia sana lakini mwisho wao wamepoteza maeneo yao mengi kwa ujinga wao walioufanya Oct 07,2023.

Sasa hivi imekuwa wimbo kila mnapojiliza hamachi kuwataja wanawake na watoto ambao kipindi hicho wali wafanye Kama kinga ( Human-Shield) yaani waliuliwa wapate sababu ya kuonewa huruma na Jumuia za Kimataifa!!!
 
Wauaji ni kina nani hao? Mfano askari wa Israel waliouwa watoto zaidi ya 200 huko Iran nao wanahesabika wauaji? Au wale waliouwa watoto zaidi ya 10,000 huko Gaza nao ni wauaji?

Tatizo hizi sheria wanatungiwa wale tu ambao serikali ya Israel itasema ni wauaji sio wauaji WOTE. No wonder askari wa ISIS ambao tunaambiwa ni magaidi hatari walikua wanatibiwa na serikali ya Israel huko Golan heights kupindu cha vita ya kumng'oa Assad ila cha ajabu akikamatwa mtu wa Hamas ataitwa gaidi ila ISIS anaachiwa huru!!
umeandika kwa uchungu sana pole
 
Anayekudanganya kuwa Hamas Wamechukua Gaza yote Nani? Mmeanza upotoshaji tena kwa Magaidi wa Hamas ambao mliwasifia sana lakini mwisho wao wamepoteza maeneo yao mengi kwa ujinga wao walioufanya Oct 07,2023.
Unataka ubishane na waisrael wenyewe
Sasa hivi imekuwa wimbo kila mnapojiliza hamachi kuwataja wanawake na watoto ambao kipindi hicho wali wafanye Kama kinga ( Human-Shield) yaani waliuliwa wapate sababu ya kuonewa huruma na Jumuia za Kimataifa!!!
Waliwafanya kinga kivipi? Kwahiyo kma kuna gaidi mmoja ni heri ulipue watu elfu 10 ili kuua mmoja?

Kama ingekua hivyo hata Congo vita ingeisha maana serikali ya Congo ikifika inaua tu raia wote wa Kivu kaskazini ili wafie na M23 humo humo!

Ndio maana Hamas waliokufa ni chini ya elfu 5 ilihali raia wamekufa almost laki, sasa mmefanya nini? Leo Hamas imerudi kucontrol Gaza tena sasa imesaidia nini?

Deal na magaidi sio raia,
 
umeandika kwa uchungu sana pole
Hakuna hata haja ya kuwapa Pole Oct 07,2023 Hamas walivamia huko Israel na wajinga hawahawa walikuwa wanawasifia na kuwaramba miguu na kuwasema ni mashujaa leo hii wanakuja hapa wanajilizaliza ovyo wakati Magaidi wa wanalipwa walichopanda Oct 07,2023!.

Waache kutafuta huruma kwa watu!!
 
Back
Top Bottom