Dunia yakumbwa na ongezeko/mafuliko ya single mother

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,895
25,945
Aman iwe nanyi wapendwa wa jukwaa

Husika na kichwa cha habar hapo juu

Kwa sasa si america wala si london au africa dunia nzima kwa sasa kuna ongezeko la single mother

Kitendo hicho kimeweza kumushitua had msomi wa chuo kikua cha marekan ambaye ni profesa CLINTON MAYALA katika maelezo yake amedai kuwa umoja wa mataifa unatakiwa uangalie namna ya kumaliza tatizo hili la single mother ili nao wapate waume wa kuwaoa

Pia amedai elimu itolewe kwa watu kuhisiana na mazara ya single mother

LONDON BABY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KUHUSIANA NA MADHARA SIO '.....kuhisiana na mazara'

NGOJA SINGLE MOTHERS WAJE AISEE, HII VITA SIO MCHEZO
 
Hivi tukigawana kila mtu achukue watatu watatu si wanaisha mtaani,suluhisho la ulimwengu huu na madhira yake lipo kwa Aliyeuumba Ulimwengu.ngoja tuendelee kubisha alafu tutaona mwisho wake what next
 
Back
Top Bottom