Dunia ya walimwengu

nasikia huyu jamaa alikamatwa amevaa nguo za jeshi ndo akapewa huyo adhabu
 
na hapo alipewa miche miwili ya sabuni aimalize yote kisibaki hata kipande kiduchu...
 
haha pole mkuu! mm pia

Upstairs wako empty halafu wana sifa za kitoto na kijinga pamoja na roho mbaya, kuna mmoja alishawahi kuniomba ushauri afanyeje gari yake isifunguke milango ya nyuma kwakuwa watu wanaomba sana lift. By then ilikuwa nI HYUNDAI SONATRA/SONATA?
 
na hapo alipewa miche miwili ya sabuni aimalize yote kisibaki hata kipande kiduchu...

Sometimes utafikiri washkaji wanafikiri kwa kutumia naniliu
 
Upstairs wako empty halafu wana sifa za kitoto na kijinga pamoja na roho mbaya, kuna mmoja alishawahi kuniomba ushauri afanyeje gari yake isifunguke milango ya nyuma kwakuwa watu wanaomba sana lift. By then ilikuwa nI HYUNDAI SONATRA/SONATA?

haha ndio walivyo! wale wamezoea kupokea amri bila kupinga, na wamekosa field ya kufanyia mazoezi yao! sisi mtaani kwetu tunakuaga wapole tu
 
...kuna mmoja alishawahi kuniomba ushauri afanyeje gari yake isifunguke milango ya nyuma kwakuwa watu wanaomba sana lift. By then ilikuwa ni HYUNDAI SONATA?

Halafu Hyundai zenyewe zilikuwa za mkopo wakati ule wakipewa na pickups za Mazda...
 
ngoja wakukamate umewaposti huku. watakulisha "maduma" mabichi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…