Miss_Irene
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 320
- 456
Najua kuna watu watabisha ila ukweli ndo huo, nikejaribu kukaa na mashost zangu kuwadadisi yaani wote wana watu wao tayari lakini kuna watu tena wanawapenda
Utasikia "me Diamond napenda sana aisee" maana yake ikitokea akakutana na mondi lolote linaweza tokea na nisiongelee mbali me pia nipo kwenye mahusiano ila kiukweli kuna mwanaume nampenda sana aisee na nipo nae ofisi moja
Kuchepuka hakutaisha kiukweli

Mmh kweli? Wewe mdada akikutongoza utachukulia kawaida?Si umtongoze tu huyo office mate badala ya kutesa moyo wako? Wanawake kutongoza RUKHSA!
Mmh kweli? Wewe mdada akikutongoza utachukulia kawaida?
kwa hiyo huyo jamaa akikuchombeza upo tayari kumpa ??Najua kuna watu watabisha ila ukweli ndo huo, nikejaribu kukaa na mashost zangu kuwadadisi yaani wote wana watu wao tayari lakini kuna watu tena wanawapenda
Utasikia "me Diamond napenda sana aisee" maana yake ikitokea akakutana na mondi lolote linaweza tokea na nisiongelee mbali me pia nipo kwenye mahusiano ila kiukweli kuna mwanaume nampenda sana aisee na nipo nae ofisi moja
Kuchepuka hakutaisha kiukweli
Loose ball ndio mtu gani?It depends on what type of mdada. If she is the lose ball then HELL NO! [emoji41]
Nilishakuona dalili!na nisiongelee mbali me pia nipo kwenye mahusiano ila kiukweli kuna mwanaume nampenda sana aisee na nipo nae ofisi moja
Kuchepuka hakutaisha kiukweli
Loose ball ndio mtu gani?
Umeongea ukweli mchunguNajua kuna watu watabisha ila ukweli ndo huo, nikejaribu kukaa na mashost zangu kuwadadisi yaani wote wana watu wao tayari lakini kuna watu tena wanawapenda
Utasikia "me Diamond napenda sana aisee" maana yake ikitokea akakutana na mondi lolote linaweza tokea na nisiongelee mbali me pia nipo kwenye mahusiano ila kiukweli kuna mwanaume nampenda sana aisee na nipo nae ofisi moja
Kuchepuka hakutaisha kiukweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeLoose ball [emoji460]οΈ ni mpira ambao mchezaji yeyote aliye karibu anaweza kuucheza [emoji12][emoji12][emoji12]
Baby, na wewe huwa unachepuka ππ?!Mmh kweli? Wewe mdada akikutongoza utachukulia kawaida?
Unajua fika kwamba mimi siwezi kufanya hivyo babyBaby, na wewe huwa unachepuka ππ?!