Kaka mimi nimezaliwa Migo migo na kukulia hapo ila hizo mambo huwa sitakagi kuziintertain kabisa ndio maana viwanja vya namna hiyo town huwa naviepuka, then sikutegemea kukutana na huo ushenzi huku chugaUmechelewa kuja mjini mzee
Arusha ndio penyewe kwa hizi mamboUmeamua tu kutuchafua Arusha ila hayo mambo yapo kwa wingi Dar.
Kakaa hatariii hizo amapiano zikipigwa ndio wanachanganyikiwa, kuna ile ya rayvany sijui anasema onyesha boxer, basi vile vihanisi vikawa vimebinua makalio kabisa huku wamepandisha vibrauzi vyao juuUmlandoooo!!! Ikigonga sasa, panda juu ya mezaaaa,
Ulivyosema tu 'kakaa' nikaona na wewe una elements Kama za hao uliowakimbia huko club.Sikuchukua picha kakaa
Kupata picha bonyeza*102#Bila picha ni uongo
Nshamjua unayemzungumziaHivi yule Dada wa Jf anajiitaga nani? Anakuaga na sorry za South sana, mara ya mwisho niliwahi kusoma story yake kuwa wanataka kuona na kuchukua mtoto, I think walisema walipata mtoto, kitu kama black culture something like that