Mla Bata
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 8,164
- 18,675
Wasalaam
Maisha yanaenda kasi mno, bongo kama ulaya, utandawazi na maisha ya kwenye movies 🎥 yanaiharibu jamii kwa kasi ya ajabu, devil on wheels.
Weekend imeingia siku ya jana nikasema ngoja nikashangae maisha yanavyoenda huko duniani, katika jiji la Arusha nikazama kiwanja kimoja chenye “vibe” la kutosha, race za kila aina huku Muingereza, kule mjerumani, “choli choli” nao wakutosha.
Basi kwakuwa bado ilikuwa mapema bado meza nyingi zilikuwa na space, nikachagua kona yangu moja ambayo nikikaa basi wanyama wote naweza kuwaview kwa uzuri kabisa, mziki mkubwaaa, Dj anataka kuchana speaker 🔊
Nikaita muhudumu nakumuagiza Safari zangu za bardiiiiiii, wakati naenjooooy mziki pundee akatokea mrembo, nakuuliza kama meza ipo reserved, haraka nikamkaribisha kwa bashasha huku moyoni nikisema “ewaaaah, haya ndio mambo ninayoyapenda mimi”.
Chuma ipo vyediii sanaa, Kilometers zinaonekana bado kabisaa, mashaalah kifuani bado muda ni mawio jua lingali kuchomoza. Rangi ya maji ya kunde imenyooka huku kichwani akiwa na Dread locks, unyama mwingi sanaa.
Wakati muhudumu ananirudishia change akawa anamsikiliza lakini mrembo akajibu anawasubiri wenzake ataagiza baadae, then muhudumu akajiondokea. Nikaanzisha chit chat na small talks ili kubreak ice, lakini nikaona response ni shot cuts huku akiwa busy sana na simu. Sikuwa na haraka nae nikasema ndio kwanza saa nne mpaka ifike mida mida hapa kishaeleweka. Safari zikaendelea kumiminika.
Haikupita punde mara naona chuma kingine inakuja pale mezani, kwa haraka haraka nikaelewa huyu ndio muhusika aliyekuwa yupo nae busy kwenye simu, ebwanaa eeh sifa zote nilizoziainisha kwa huyu mrembo wa kwanza hapa kwa huyu mwenzako fanya times four (4) hii chuma ilikuwa mafutaa sanaa, tena kilichonikosha haswaa huyu mrembo mwingine alikuwa na mzigo wa hajaaa, aloooo! Nasemaje mzigo wa hajaaa…mwili mdogo mdogooo ila mzigo wa hajaaaa, alafu tena lainiiii. Huku nae akiwa dread locks, wakasalimiana kwa kuhugs na kukiss nikasema mambo ya wasichana hayaa, hapo Safari zishaanza kuniingia mwilini sasa, huwa chupa mbili za mwanzo napiga tarumbeta za chaaaap ili kuwarm up mwili kwanza then tunaenda kwa pace ya kawaida.
Sasa nikaona wameinuka nakuweka shuraa kidogo wakidiscuss jambo kwa haraka haraka niling’amua ilikuwa ni issue ya vinywaji inazungumziwa pale. Then yule mrembo times four akaondoka kuelekea counter.
Sijui ndio safari zishapanda nikajikuta nainuka nakumsogelea yule mrembo wa kwanza aliyebakia peke yake ili niweke ukaribu coz sikuona muda wa kupoteza tena, akili yangu ikaniambia hii meza watakuja wajanja na kupindua meza kibabe hapa, mi sio falaa.
Lol! Kaka samahani mbona umenisogelea karibu sanaa kuna shida? Nikamwambia hapana naona nimesogea karibu ili upate kunisikia ninachozungumza naona kule nilipokaa ni mbali sanaa,
“Bro unamuona yule dada aliyetoka hapa? akirudi akanikuta umenisogelea hivii hatokuelewa na ana wivu na hasira mbayaaa”
La haula! Nikahisi sijaelewa jambo, ikabidi niulize kwanini akuonee wivu?
Nikaambiwa bro, kama hujaelewa kitu basi, kwanzaa huyo hapo anarudi. 😤
Ikabidi nirejee mahali nilipokaa kinyonge sana pasi kugeuza sura yangu ile nageuka nakutana na huyu mrembo mwengine amerejea mkononi akiwa na chupa ya Jägermeister huku akinipiga jicho la chuki za waziwazi nikabaki na butwaa.
Wakamiminiana pale na kutoast kisha kuanza kushusha ulevi, mimi nikiwa busy na simu huku nikisikiliza midundo kutoka kwa Dj, nikaongeza safari zangu nyingine na kuanza kuzigida, zilipokata kabla sijafungua nikaaga kwenda washroom nikapunguze maji mwilini.
Sasa wakati narudi nikakutana na jamaa yangu mmoja ambae nilimfahamu kupitia rafiki yangu wa karibu (mutual friend) ikabidi tupige story mbili tatu kabla sijaingia ndani tena.
Meeeen, ile narudi kwenye ile meza kwenye kona sikuamini nilichokiona wale warembo wawili washenzi walikuwa wamezama deep kabisa wanapigaba mabusu na kubadilishana mate huku wakitomasana maziwa, nikasimama ghafla kwa sekunde kadhaa na kusita kwenda, then nikasema potelea mbali ngoja niende wakiniona wataacha, wallah wale washenzi nikama hawakuona uwepo wangu waliendelea na ushenzi wao as if nilikuwa gogo pale 🙆🏾, nikasema siwezi kuvumilia ufirauni kama huu mbele ya macho yangu, nikabeba zangu safari zangu mbili zilizobaki na kutafuta chocho la kukaa. Kichwani nikilaani lile tukio na kuona warembo kama wanyama hata ule uzuri niliouna awali ulipotea machoni mwangu.
Mziki umechanganya mida ishaenda kama saa saba hivi safari zishachanganya kichwani nikajisogeza kati kusakata rumba si nikaona kuna mtu kapanda juu ya meza ile niliyokimbia huku akimwaga mauno ya kufa mtu alikuwa mweupe then kichwani ana mableach kama kamwagiwa unga huku mrembo mwingine pamoja na wale warembo wawili wakimhype kwa mbwembwe na yeye akiongeza kuachia miuno, nilivutiwa kwakweli na vile viuno macho yangu yakazidi kukodoa ile nasogea karibu nikagundua vile viumbe viwili vilivoongezeka havikuwa vibinti bwana, ni vidume vikiwa vimejichubua na kichwani vikiwa na mableach huku mikononi wakiwa wote wamepaka rangi,
Uvumilivu ukanishinda nikasema hata kama kila mtu afuate business zake si kwa laana hizi dunia isimame mimi nishuke tu, nikamaliza beer yangu na kujiinua zangu kwenda kulala ule ushenzi ulinikata moto kabisa nikasema hizi sehemu itakuwa mwanzo na mwisho kuja. Usheeenzi mtupu 🚮🚮🚮

yanaiharibu jamii kwa kasi ya ajabu, devil on wheels.

, nikasema siwezi kuvumilia ufirauni kama huu mbele ya macho yangu, nikabeba zangu safari zangu mbili zilizobaki na kutafuta chocho la kukaa. Kichwani nikilaani lile tukio na kuona warembo kama wanyama hata ule uzuri niliouna awali ulipotea machoni mwangu.