Dunia simama nishuke

Dunia simama nishuke

Asingefanya hivyo nadhani hata hiyo familia yake isingekuwa tajiri na umaarufu wowote ule, kuwaelewa Freemansony lazima uwe na akili ya ziada....
Mkuu hapa umeongopa .... before ya huyu mzee kufanya surgery family yake tayari ilishakuwa maarufu sana tena sana ... ilikuwa tayari kim kesha vujisha sex tape aliyo kuwa ana ngonoka na ray jay ..pia ilikuwa tayari kim ameshaanzisha show yao ya keeping up the kadarshians na kina khloe walikuwa wameshapata umaarufu tayari ...

Tangu mwaka 2011 hiyo family ilikuwa imeshakuwa maarufu . Na wengine tulikuwa tunaitazama show yao kupitia BET channel
 
Shida ya huyu jamaa kageuza watoto wake wa kike kuwa role models wake!

Maisha ya watoto wake yamemchanganya kiasi nae anataka afikie walipofikia. Stupid
Hiyo family achana nayo mkuu ...imevurugwa hatari ..hao wako macho mbele kwenye pesa ..bimkubwa wao mwenyewe kina kim ambaye ndiye alikuwa mke wa huyo mzee shemale .
Amevurugwa kinoma sana ..yaani kapinda hatari
 
Ni ngumu kufafanua kwa undani, kiufupi katimiza masharti baina yake na wale aliyowekeana mikataba nao, wale walioifikisha hiyo familia mahali ilipo sasa....
Dunia ina mtihani na maajabu kwa kweli
 
Mkuu hapa umeongopa .... before ya huyu mzee kufanya surgery family yake tayari ilishakuwa maarufu sana tena sana ... ilikuwa tayari kim kesha vujisha sex tape aliyo kuwa ana ngonoka na ray jay ..pia ilikuwa tayari kim ameshaanzisha show yao ya keeping up the kadarshians na kina khloe walikuwa wameshapata umaarufu tayari ...

Tangu mwaka 2011 hiyo family ilikuwa imeshakuwa maarufu . Na wengine tulikuwa tunaitazama show yao kupitia BET channel
Hizo zilikuwa Ni hatua kuelekea hitimisho mzee kujibadili alivyojibadili, kukamilisha mkataba, yaani yooote yalokuwa yanatokea ktk familia hiyo hayakutokea kwa bahati mbaya yalishapangwa, kuwaelewa Freemansony yatakwa uwe na akili ya ziada, wanafanya kitu huwezi kuamini akili ya kawaida Kama kilipangwa...
 
Hivi mzazi kama huyo ukisema umkatae utapata laana pia 🤔
 
Hizo zilikuwa Ni hatua kuelekea hitimisho mzee kujibadili alivyojibadili, kukamilisha mkataba, yaani yooote yalokuwa yanatokea ktk familia hiyo hayakutokea kwa bahati mbaya yalishapangwa, kuwaelewa Freemansony yatakwa uwe na akili ya ziada, wanafanya kitu huwezi kuamini akili ya kawaida Kama kilipangwa...
Hapo sasa nimekuelewa awali hauku fafanua vyema " ulipaswa kusema kwamba " ametimiza masharti aliyowekewa awali kabla ya hiyo family kuwa ya watu matajiri ....
 
Ahsante kwa taarifa... ila ni muda mrefu alifanya hivyo...

Na sasa ana mipango ya kubeba mimba...

Cc: mahondaw
 
Maana aisee ajabu kwa kweli kutoka kuitwa baba mpaka mama, shetani ana shangaa na yeye
freemansory Wana ulimwengu wao mkuu, sio huu wakuamini laana....hata Mzazi wako ruksa kumsukumia moto
 
IMG_20181226_154005.jpg

Huyu wa kati nae vipi 🤣🤣🤣🤣sura imegoma kubadilika au?
 
Back
Top Bottom