Dunia simama nishuke

Vitu hivi ndivyo vimemuondoa kabisa Lizaboni JF
 
Safi..... Ila asinijie na t*ko nje kama hawa wa siku izi naowaona uku mtaani,
ntampa vifinyo vya kutosha
..
Bibi hayo wanaita show what your mom gifted to you. Kwani hautaki mjukuu nijiopolee mwenye chura
 
..
Bibi hayo wanaita show what your mom gifted to you. Kwani hautaki mjukuu nijiopolee mwenye chura
Ha ha ha haaaaaaa..... Chura halafu kichwani boga aje ashindwe kunitunzia vitukuu vyangu..... Chura na kichwani pawe vema mjukuu
 
Inawezekana bibi?
Sasa wewe ndio uchague, chura ila kichwani maji... Hadi dawa za watoto wakiiumwa uje uwpe wewe maana haelew ipi aliyombiwa ya mchana na ip ya usiku.... Au chura hamna kichwani yuko smart kila ukirudi mambo yameshaenda safi zamaaani?!!! Chaguo lako mjukuu wngu
 
Teh..sema tu wewe babu alikuwahi bibi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…