[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji119] [emoji119]Haya bwana mkuu
Amini duniani watu ni kama mchele. Kuna mchele wenyewe kama huyo hapo juu na vichengavichenga vya mchele. Ila vyote tunavila.
[emoji23] [emoji23] [emoji87] [emoji87]Huyu yafaa kubaki naye mahabusu
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji119] [emoji119]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji116] [emoji115] [emoji3] [emoji2] [emoji115] [emoji116]
Ata sio kweli, kwani hakuangali hali yako ilivyo kiuchumi maana king'oa kitu kama kile lazima uwe imara sokoniAyaaa ushaniharibia kwa manzi angu. Anajua ni picha ya mchepuko na kadiri ninavyozidi kumwelewesha ndivyo anapanic zaidi.. Nitarudi akitulia
Mjukuu wangu nilijua tu utakua wa kwanza au wa pili kuchangia huu uzi[emoji39][emoji39][emoji39]
Asante mkuu kwa kupendezesha jukwaa.
Ayaaa ushaniharibia kwa manzi angu. Anajua ni picha ya mchepuko na kadiri ninavyozidi kumwelewesha ndivyo anapanic zaidi.. Nitarudi akitulia
Ata sio kweli, kwani hakuangali hali yako ilivyo kiuchumi maana king'oa kitu kama kile lazima uwe imara sokoni
Bibi mchumba shikamooMjukuu wangu nilijua tu utakua wa kwanza au wa pili kuchangia huu uzi
Marahabaaa.... Nakuona nakuona unatiririka tu na mifano yako ya michele... Ha ha haBibi mchumba shikamoo
Inna Llilah wa inna llilah Rajiun...!
PoleeeeMshana taratibu bana..Wengine ndoa zetu bado changa
Unaenda bafuni kwanza sio?Bwahahaha
Mimi niachwe kwanza asee
Ewaaaaaa hivi ndio navipenda, hatari sana sheikh [emoji39] [emoji39]
Unaenda bafuni kwanza sio?
[emoji85][emoji85][emoji85] bibi bhana.Marahabaaa.... Nakuona nakuona unatiririka tu na mifano yako ya michele... Ha ha ha
Not to that extent