Dunia nzima tukiwa ma atheists itakuwaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dunia nzima tukiwa ma atheists itakuwaje?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by The Boss, Nov 26, 2009.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  nimekuwa nafuatilia mada za humu jf zinazohusu
  hawa watu wanaojiita ma atheists na wengine kuhusu kuwepo au
  kutokuwepo kwa mungu....

  juzi tena kwenye cnn nimeona mtu mmoja
  anaitwa Richard dawson akihojiwa kuhusu hiyo
  theory ya kutokuwepo kwa mungu.....

  kitu kimoja ambacho nimekuja kukigundua ni kuwa
  iwapo kila mtu ataaamini hakuna mungu,hii dunia itakuwa
  na vurugu mno.
  msingi mkubwa wa dunia hii kama ilivyo unatokana
  na kuamini mambo mengi ambayo msingi wake ni dini
  na mungu kwa ujumla..

  mfano masuala ya morals na ethics yote msingi wake
  uko kwenye dini na mungu...
  kwa kuamini kuna dhambi na mungu hapendi
  ndio inayotufanya binadamu tuwe na limitations
  kwenye matendo yetu hasa yale maovu.

  sasa imagine leo unaamka na dunia nzima
  watu wamekuwa convinced hakuna MUNGU..
  kwa maana hiyo hakuna dhambi kwa lolote
  unalofanya......

  i find peace when i believe there is god...
  not believing there is god,is like not believing there is justice after all.

  hata kama hawa evolutinary scientist watakuwa
  na evidence za kutosha ku prove there is no god...
  i dont want to believe that...
  i want to believe there is god hata kama it is true that
  god does not exist.....

  kwa mtu kuweza kuni convince kuwa hakuna
  mungu....kwangu ni suala kubwa sana...
  by not believing there is god,i will be a completely different person..

  na naamini hata hii dunia itakuwa a complete new world..
  if kila mtu ataamini hakuna mungu...

  itakuwa vurugu kubwa sana.

  the idea that there is no god is so scary and it does not make sense.
  i hope all atheists are wrong.
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  November 23, 2009
  Tuesday's Connector of the Day – Richard Dawkins
  Posted: 1631 GMT
  Fervent atheist and anti-creationist, Richard Dawkins is often referred to as "Charles Darwin's rottweiler." He has torn into the religious establishment with his claim that God is a delusion. It seems the British ethologist, evolutionary biologist and author will stop at nothing to provoke intelligent and honest debate about the truth of our existence.
  [​IMG] Richard Dawkins is marking the 150th anniversary of Charles Darwin's 'On the Origin of Species'

  [​IMG]

  His writings have inspired and angered many a reader – and now he's back with more.
  Dawkins' latest book "The Greatest Show on Earth" offers scientific evidence as proof to back-up his own theory of evolution. Like his other writings, he has provoked a mass of rebuttals. The Christian-evangelical group, Living Waters, has recently countered Dawkins' book with an unlikely source of its own. It has re-released Darwin's manuscript with a new 54 page foreword penned by the group's president Ray Comfort that refutes Darwin's theory of evolution.
  This Tuesday marks the 150th anniversary of the publication of Charles Darwin's "On the Origin of Species." Dawkins joins us again as our Connector of the Day – so don't miss the opportunity to ask him about Darwin's most celebrated and much-debated manuscript.
  Send us your comments below.
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Nov 27, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  Ni richard dawkins..
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Nov 27, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  OK...
   
 5. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #5
  Nov 29, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  The most weaked cult ever happened on planet earth ni MA -ATHEIST. Hawa wahuni waliuwa mamilioni USSR, UCHINA, N KOREA, n.k kwa kutumia ukomunist.

  "To collectivize the land in a "great assault on the peasantry," Stalin used starvation as a weapon, particularly the Ukrainians. This policy resulted in the death of roughly 6 million people, including 4 million in the Ukraine. Here in Kharkiv in 1933, the peasants became indifferent to the daily phenomenon of death. Cannibalism so widespread that the government printed posters that said:
  "EATING YOUR CHILDREN is an act of barbarism."


   
 6. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #6
  Nov 29, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  The most oppressive and human-killing regime's have been those of the Communists, founded on Karl Marx's Atheist "political doctrines".

  In the past century, it is estimated that Communism is responsible for the deaths of between 85,000,000 - 110,000,000

  Yet, as had happened in 1932-1933, with Stalin's Holocaust against 7,000,000 in the Ukraine, the West passively denied the famine with the League of Nations accepting the USSR, and sweeping trade deals with the United States under Roosevelt.

  Never a firm rebuke from its media... casual indifference from government which have always demonstrated the most casual disregard to human suffering, abuse of human rights and religious persecution.

  For this, the Silent Holocaust continues...
   
 7. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #7
  Nov 29, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,608
  Trophy Points: 280
  Mkuu mimi namuona huyo ndugu Richard dawson kwa imani yake kuwa haamini kuwepo kwa mungu huyu Richard dawson hana akili timamu ajiulize kwa akili yake kwanini binadamu wanazaliwa na kufa? Je ndio mwisho wa Binadamu kufatu? Na ajiulize Aliye Uumba mbingu na ardhi ni nani? aliye uumba usiku na Mchana ni nani? aliyeumba nyota ,jua,Mwezi,sayari,ni nani? basi hatumii hata akili aliye mpa Mwenyeezi Mungu? hawa watu weupe mbona wanatuchanganya Mkuu The Boss? hawatumii akili walizopewa na Bwana Mwenyeezi Mungu muumba wa mbingu na Nchi?

  QUR'ANI 3.Surat Al-'Imran 189. Na Ufalme wa mbingu na ardhi ni wa Mwenyezi Mungu; na Mwenyezi Mungu ni Mwenye uweza juu ya kila kitu

  190. Hakika katika kuumbwa mbingu na ardhi na kukhitalifiana usiku na mchana ziko Ishara kwa wenye akili

  191. Ambao humkumbuka Mwenyezi Mungu wakiwa wima na wakikaa kitako na wakilala, na hufikiri kuumbwa mbingu na ardhi, wakisema: Mola wetu Mlezi! Hukuviumba hivi bure. Subhanaka, Umetakasika! Basi tukinge na adhabu ya Moto.

  Al I'mran 192. Mola wetu Mlezi! Hakika unaye mtia Motoni umemhizi; na walio dhulumu hawana wasaidizi.
  193. Mola wetu Mlezi! Hakika sisi tumemsikia mwenye kuita akiitia Imani kwamba: Muaminini Mola wenu Mlezi; nasi tukaamini. Basi tusamehe madhambi yetu, na utufutie makosa yetu, na utufishe pamoja na watu wema.

  194. Mola wetu Mlezi! Na utupe uliyo tuahidi kwa Mitume wako, wala usituhizi Siku ya Kiyama. Hakika Wewe huvunji miadi

  195. Mola Mlezi wao, akayakubali maombi yao akajibu: Hakika sipotezi kazi ya mfanya kazi miongoni mwenu, akiwa mwanamume au mwanamke, kwani ni nyinyi kwa nyinyi. Basi walio hama, na walio tolewa makwao, na wakateswa katika Njia yangu, na wakapigana, na wakauliwa, kwa yakini Mimi nitawafutia makosa yao, na kwa yakini nitawaingiza katika Mabustani yanayo pita mito kati yake. Hayo ndiyo malipo yanayo toka kwa Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu kwake yapo malipo mema kabisa.
   
 8. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #8
  Nov 29, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Bahati mbaya kuna misconception kubwa sana kuhusu atheists.

  Atheists si dini ya kusema dunia nzima tukiwa atheists tutakuwaje, ukichukua definition ya atheist kama mtu asiyeamini katika mungu, nchi za ki buddhist zote tayari ni za ki atheist kwa sababu ma buddhist hawaamini katika mungu.Na Thailand, China, Japan, India, Sri Lanka hawana matatizo zaidi ya nchi nyingine kwa sababu hii. To the contrary watu wengine wanaweza kusema nchi hizi ziko peaceful zaidi kwa sababu ya atheism yao.

  Kuna ma atheist kibao ni secular humanist, humanists ni watu sensitive kweli na generally wana moraal positions zilizo very strong, mfano mzuri ni Mzee Kaunda (ingawa yeye haakuwa atheist) lakini ukiwasikiliza watu kama kina Dawkins na Bertrand Russell utaona hawana dini lakini wana falsafa zilizo highly responsible na humane kuliko hata ukristo kwa mfano (Rejea thread ya "Bertrand Russell- Why I am not a Christian" ambayo Russell amemuona Yesu na mungu wa Judeo-Christian philosophy lacking-

  Kwa hiyo, with the correct understanding, the more you know there is no god, the more you know how responsible you should be, the more you know kwamba it is not just a matter of doing wrong and repenting because Jesus already died for your sin, the more you know that every choice you make is your responsibility, kuanzia kukata miti mpaka idadi ya watoto, hakuna mungu wa kufanya kila kitu kiende sawa.

  Kwa hiyo inategemea unaongelea atheist gani.Kama unaongea hedonistic atheists obviously utakuwa na tatizo.Lakini kama unaongelea responsible secular humanists uta end up in a better place zaidi ya dini zilizojaa hypocrisy anyway.

  Let me just say, kusingekuwa na dini Crusade isingetokea, utumwa na ukoloni usingetokea ulivyotokea, bias nyingine kibao zinazotokea leo katika mgongo wa udini zisingekuwepo.

  On top of everything, a bitter truth is better than a sweet lie.
   
 9. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #9
  Dec 1, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160

  Kazi ipo, jamaa walikuwa ni sawa na mashetani. lol
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Dec 5, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  Mhh.
   
 11. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #11
  Dec 5, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Morality haitokani na hofu hiyo ni morality bandia.

  Kutakuwa hakuna Middle East Conflict, kungekuwa hakuna crusades, kungekuwa hakuna Jihad yoyote. Kungekuwa hakuna kubakwa kwa watoto na mapadri, Galileo asingeshitakiwa kwa uvumbuzi wake, kungekuwa hakuna justification ya muda mrefu ya utumwa, kanisa lisingehitaji kumwomba Darwin msamaha kwa kupinga Evolution zaidi ya miaka 100 baadae!!
  http://www.telegraph.co.uk/news/newstopics/religion/2910447/Charles-Darwin-to-receive-apology-from-the-Church-of-England-for-rejecting-evolution.html

  [​IMG]
   
Loading...