Dunia nzima imeona,ningeshangaa sana kama TFF ingekaa kimya

Mtani vipi au wewe hujui kama "Nyota njema huonekana asubuhi" na "Biashara asubuhi" au wewe unafuata kale kamsemo "Fainali uzeeni"

Mtani mimi huwa natunza kumbukumbu,mtakapoanza kudondosha points kule mikoani duru la lala salama(la 2) tusiwasikie Ooh Yanga ilipendelewa mechi nyingi za duru hili imecheza nyumbani,mara viwanja vibovu...tusiwasikie nasema
 
Mtani usihofu, Toto tushawajulia sahivi wakijitahidi ni sare lakini kwingine kote tutachukua point hata kama ni kwa goli moja moja.
 
Mtani usihofu, Toto tushawajulia sahivi wakijitahidi ni sare lakini kwingine kote tutachukua point hata kama ni kwa goli moja moja.

Haya,hlf leo si mnakipiga? embu tufanyie mpango wa "Live match update" basi hata kama ni kupitia kile kile kiredio chetu,wengine hatupo karibu na media instrument yeyote ile
 
Haya,hlf leo si mnakipiga? embu tufanyie mpango wa "Live match update" basi hata kama ni kupitia kile kile kiredio chetu,wengine hatupo karibu na media instrument yeyote ile
Leo mtani nilikuwa na wageni nimepata update toka kwako baada ya kulogin baadaye sana, naona mnyama anatisha, kipigo kilikuwa chenu hicho mechi ingecheleweshwa kidogo.
 
Mi niliona umetuchinjia baharini ikabidi nijitolee,dah hongereni sana aisee kwa jinsi hii Ligi ilivyo ushindi wa aina hii(goli 4) ni bonge la mtaji,hongereni sana tusubiri kesho sasa najua kesho tutacheza mechi dhidi ya team 2(Kagera na kocha wao Kibadeni + Simba) kwani lazima mtatia mkono tu,ila haijalishi,tumejipanga vizuri na Mholanzi wetu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom