Dunia ni wizi mtupuu

Dunia ni wizi mtupuu

supercool

Member
Joined
May 10, 2013
Posts
49
Reaction score
13
NIMEIPENDA HII ASEE.

Kuna kisa kimoja:

Jamaa alienda na mke wa mtu Disko, wakati ameondoka, majirani wakamtonya mume kwamba mke wake ameondoka na hawala kwenda Disko. Mume akachukua panga na kuelekea penye Disko, akamkuta mlinzi mlangoni, akamwambia kiluchomleta, kwamba lazima amtende vibaya aliyemchukulia mke.

Kwa busara mlinzi akambembeleza na kumtuliza yule mume. Akafanya mpango ili amtoroshe yule mhusika. Alipoingia ndani akatangaza kwamba kama kuna mtu amekuja na mke wa mtu, mume wake yupo nje na panga, hivyo aje apitie huku asije akaumizwa.

Kwa kuwa hakutaja jina, alishangaa kuona ukumbi karibia wote wanakimbilia alipo Mlinzi����������������������������������
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom