Dunia na uwongo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dunia na uwongo?

Discussion in 'International Forum' started by mkenya mkweli, Jul 19, 2011.

 1. m

  mkenya mkweli Member

  #1
  Jul 19, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi Dunia inatawalia na Uonga .magazeti ,TV na vyombo vyote vya habari vimekuwa vikidaganya kusudi kuendeleza agenda za watu fulani
  Tumeona george bush alvyoipiga Iraq na kuuwa maelfu ya watu kwa uongo wa kijinga sana.Alisimama kwa UN na power point slide show ambayo hata mimi siwezi kumshawishi mhadihiri wangu nayo na kuweza kufanya ulimwengu mzima kuja pamoja kupiga nchi hafifu.

  Tumuyaona ya libya,yogoslavia,afghanistan,ivory coast na kwingineko, hapo nimekwenda mbali

  Leo nikimtaka demu/msichana fulani hivi,nitamdaganya mpaka awe wangu,nikimwambia ukweli wangu chances za mimi kumpata ni zero.
  hata tulipokuwa wadogo ukifanya makosa huwezi kumwambia mama ukweli na uombe radhi,njia rahisi ni kudaganya.Kwa ufupi kila mtu ni mwango
  Hata hisia zetu zinadaganya.siwezi kuamiani macho yangu,maana kitu kikiwa mbali macho yangu inanionyesha kiti chenyewe ni kidogo ukweli pengine ni kikubwa hata kuliko dunia,mfano mwezi.(optical illusion)

  mimi nilipigwa marufukuu hapa kwa sababu ya kujaribu kusema ukweli.

  Ukweli haupendwi,ukweli unauma,Kuna mtu alisema The truth will set you free, but first it will make you miserable, kwa hivyo
  Jamani na waomba wajamvi tijufunze kusema ukweli,Dunia imeharibika kwa uongo,watu wanakufa kwa uongo.uonga unaanza unapotaka kumridhisha mtu.

  Ikiwa vyomba vya habari (especially zile za ugenini) tunazotegemea zinadaganya.ukweli utapatikana wapi,tutajuaje ukweli?

  na Ikiwa je walinzi wetu hawataki ukweli?Tutafanyaje


   
Loading...