Mkuu by the time tunakula Eid El Fitri hata huko Eastern mlikokimbilia mtakuwa mmefurushwaHamna nimebalance story kwanza
Pili UKRAINE hakuna aibu maana OP inaenda vyema kama ilikwisha kupangwa shaka ondoeni
Zelensiky ni mwanaume kweli kweli,muda wote yupo na mavazi ya kikazi awe anahutubia Bunge la Ncho yoyote au majuzi hapa akiwa na yule Mama Boss wa EU,hiyo sura ya upole imewanyoosha pamoja na Boss wao anaejifungia muda wote Kremlin[emoji23][emoji23][emoji23] jamaa ni hatari .
Na vile anasura ya kisimanzi simanzi wa[emoji635][emoji635][emoji635] wakimuona kwenye TV wanasema huyu ameisha [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. au kwa kuwa jamaa taaluma yake ni muigizaji?.
Ndo mtambo gani na ukoje?Inasemekana mtambo muhimu wa kuongoza jeshi nao umechukuliwa na Ukraine na wameahidi kuupeleka Marekani ili kufichua siri zake.
Ina tegemeana una angalia Kwa eangle ipiUbeberu wa wamagharibi unaficha hata taarifa za uhalisia wa kinachoendelea Ukraine [emoji848]
Nakubaliana na wewe vita ya vietam ina mrudia Urussi .watu tunashindwa kuelewa.hata leo tukisema tanzania ikavamie burundi tunaweza kutoka kwa aibu.
vita ngumu ni hile unakwenda kuvamia kwa mwenyeji ujui historia yake.Ndio maana unakuta unapoteza wanajeshi wengi sana.
Kama unakumbuka USA ilikwenda kuvamia ujerumani vita ya pili,USA ilipokwenda kuvamia vetnamu,USA ilipokwenda kuvamia somali.
hizo sehemu zitakupa mfano tosha kuwa kuvamia nchi za watu ni ngumu labda upate ushirikiano na wananchi
Kweli..watu tunashindwa kuelewa.hata leo tukisema tanzania ikavamie burundi tunaweza kutoka kwa aibu.
vita ngumu ni hile unakwenda kuvamia kwa mwenyeji ujui historia yake.Ndio maana unakuta unapoteza wanajeshi wengi sana.
Kama unakumbuka USA ilikwenda kuvamia ujerumani vita ya pili,USA ilipokwenda kuvamia vetnamu,USA ilipokwenda kuvamia somali.
hizo sehemu zitakupa mfano tosha kuwa kuvamia nchi za watu ni ngumu labda upate ushirikiano na wananchi
Mkuu Putin atakuwa anajuta sana,hii vita imemu expose mno uwezo wa jeshi lake,afadhari asingeenda tungeendelea kuamini zile propaganda za Kikomunist za uwezo mkubwa wa jeshi lake.
Russia bado ina jeshi ukilinganisha na ukrain.
Waliambiwa anakula watu na mabaki anayatupa mtoni.Kweli..
Sisi Tanzania tuliposhambulia Uganda vita ilikuwa nyepesi kwa sababu waganda walishamchoka dikteta na mtesi wao Iddi Amin Dadaa, so walitoa ushirikiano wa karibu Kwa majeshi yetu
Kumbe ilikuwa ni makubaliano ya yale mazungumzo yaliyokuwa yakiendelea ambapo muda ule Zelensky alitoa kauli nyingi za kuwakatisha watu wake tamaa.Ana tabia ya kinyonga kubadili rangi zake haraka haraka.CRIMEA nisehem halali ya RUSSIA
Maeneo ya east yale nimataifa huru tayari kama yalivyokua OSSETIA kule GEORGIA
Pia hakuna wakumuangusha PUT IN munatamani iwe hvyo ila haitakua POLENI tuuuu
Pia jamaa aliondoka KIEV kwamakubaliano maallum
RUSSIA sio ZIMBABWE
ThubutuuuuuMkuu by the time tunakula Eid El Fitri hata huko Eastern mlikokimbilia mtakuwa mmefurushwa
KIEV iliachwa kwamakubaliano maalum DUNIA inajua hiviKumbe ilikuwa ni makubaliano ya yale mazungumzo yaliyokuwa yakiendelea ambapo muda ule Zelensky alitoa kauli nyingi za kuwakatisha watu wake tamaa.Ana tabia ya kinyonga kubadili rangi zake haraka haraka.
Russia alitaka aingie Kyiv,baada ya kufail akaamua kukimbilia huko lakini lengo mama lilikuwa KyivThubutuuuuu
Kuna majimbo kule tayari yanajitegemea yaani ninchi huru kabisa
Kule RUSSIA haitakaa itoke tena yaani hilo mlisahau kabisaaa !!!