Ubeberu wa wamagharibi unaficha hata taarifa za uhalisia wa kinachoendelea Ukraine 🤔Kushindwa kwa Urusi kuiteka Ukraine kwa haraka na kukimbizwa Marekani kule Afghanistan na wanamgambo wa Taliban kumedhihirisha kwa mara nyengine kuwa kwa sasa dunia hakuna tena taifa kubwa...
Siyo ukweli, bado kuna mataifa makubwa na mataifa madogo. Ukifuatilia hata huko unakosema ni kushindwa kwa US au Urusi utagundua ni kutokana na haya mataifa makubwa kuzungukana kwenye hivyo vita.Kushindwa kwa Urusi kuiteka Ukraine kwa haraka na kukimbizwa Marekani kule Afghanistan na wanamgambo wa Taliban kumedhihirisha kwa mara nyengine kuwa kwa sasa dunia hakuna tena taifa kubwa...
Hapa naamini ndipo alipozidiwa nguvu Mrusi.Silaha anazo za kutosha.Wenzake wamekuwa na vyombo vingi vya habari kiasi kwamba hata wanajeshi wake wanavipata wakati wa mapumziko.Woga umewaingia na kupoteza hamasa ya vita.Ubeberu wa wamagharibi unaficha hata taarifa za uhalisia wa kinachoendelea Ukrain
Nguvu ya kijeshi inapimwa na nini iwapo hao wenye silaha nzito wanashindwa na wanamgambo, Angalia hata Saudia anaavyoteswa na wanamgambo wa Houthi japo inajulikana amerundika masilaha tele ya hatari.Bado yapo na yataendelea kuwepo kwasababu ya factors zinazotoutisha mataifa kiuchumi, nguvu ya kijeshi, teknolojia na maendeleo ya kijamii zipo.
Hakuna mwanajeshi wa RUSSIA mwoga na alopoteza hamasa ya VITA(OP)Hapa naamini ndipo alipozidiwa nguvu Mrusi.Silaha anazo za kutosha.Wenzake wamekuwa na vyombo vingi vya habari kiasi kwamba hata wanajeshi wake wanavipata wakati wa mapumziko.Woga umewaingia na kupoteza hamasa ya vita.
Kweli mkuu .Mkuu vita sio lele mama haijalishi unaye pambana naye ni dhaifu kiasi gani.
Zelensky bad ni Rais wa UkraineHakuna mwanajeshi wa RUSSIA mwoga na alopoteza hamasa ya VITA(OP)
wao wapo field wanajua kwakiasi gani wamepata mafanikio huko field kwahio hizo kelele na maneno yakwenye media wala hayawatii khofu maana wanajua kipi wanachokifanya
Unadhani hao majeshi hawamsikii au kuona komedian analia lia nakuongea ongea kwenye bunge mbali mbali huko EU nakwengineko huku akiomba msaada
Hio tuu inatosha kukuonesha kwakiasi gani jamaa wanahali ngumu huko field mpaka wanaomba misaada
Huko field watu wanaamsha amsha yakutosha na wanapeleka moto wakutosha sanaaa yaani hawajali kuhusiana na propaganda wala nini sababu wanajua kama huko field mambo yanaenda kama yalivyopangwa
PUT IN anaendeleza OP yake kama alivyopanga nandio maana kila leo unaona jamaa wanaweka vikwazo kama ishara kwamba jamaa anatoa dozee dozee yakutisha nawanataka kumpunguza speed ila wanachemka!!!!!
Russia wamekimbia Kiev dunia nzima inajuaHakuna mwanajeshi wa RUSSIA mwoga na alopoteza hamasa ya VITA(OP)
wao wapo field wanajua kwakiasi gani wamepata mafanikio huko field kwahio hizo kelele na maneno yakwenye media wala hayawatii khofu maana wanajua kipi wanachokifanya
Unadhani hao majeshi hawamsikii au kuona komedian analia lia nakuongea ongea kwenye bunge mbali mbali huko EU nakwengineko huku akiomba msaada
Hio tuu inatosha kukuonesha kwakiasi gani jamaa wanahali ngumu huko field mpaka wanaomba misaada
Huko field watu wanaamsha amsha yakutosha na wanapeleka moto wakutosha sanaaa yaani hawajali kuhusiana na propaganda wala nini sababu wanajua kama huko field mambo yanaenda kama yalivyopangwa
PUT IN anaendeleza OP yake kama alivyopanga nandio maana kila leo unaona jamaa wanaweka vikwazo kama ishara kwamba jamaa anatoa dozee dozee yakutisha nawanataka kumpunguza speed ila wanachemka!!!!!
Kumbe Ukraine ile ni vita na siyo 'military operation' tena.Mkuu vita sio lele mama haijalishi unaye pambana naye ni dhaifu kiasi gani.
Mpaka hii vita iishe hakuna neno utakuwa umebakiza.Putin maliza hii vita kwa Nukes,unatesa sana ndugu zetu hapa JF unavyodemka tu kule Ukraine[emoji3]Hakuna mwanajeshi wa RUSSIA mwoga na alopoteza hamasa ya VITA(OP)
wao wapo field wanajua kwakiasi gani wamepata mafanikio huko field kwahio hizo kelele na maneno yakwenye media wala hayawatii khofu maana wanajua kipi wanachokifanya
Unadhani hao majeshi hawamsikii au kuona komedian analia lia nakuongea ongea kwenye bunge mbali mbali huko EU nakwengineko huku akiomba msaada
Hio tuu inatosha kukuonesha kwakiasi gani jamaa wanahali ngumu huko field mpaka wanaomba misaada
Huko field watu wanaamsha amsha yakutosha na wanapeleka moto wakutosha sanaaa yaani hawajali kuhusiana na propaganda wala nini sababu wanajua kama huko field mambo yanaenda kama yalivyopangwa
PUT IN anaendeleza OP yake kama alivyopanga nandio maana kila leo unaona jamaa wanaweka vikwazo kama ishara kwamba jamaa anatoa dozee dozee yakutisha nawanataka kumpunguza speed ila wanachemka!!!!!
Na katika kulia lia kwake ndiyo amepelekea mpaka wewe kuanzisha hii mada au umesahau content ya mada yenyewe,vinginevyo sasa hivi ungekuwa unaitukuza Russia kwa kuwa 'super power' [emoji3]Raisi aliyeweka rekodi ya kulialia wakati wa vita.Haijapata kutokea.
We ulitaka afanyaje historia itamkumbuka ni rais aliyemzuia Russia kwenye jaribio alilotaka kuipundua nchi kwenye vita kila mtu anatumia mbinu anayoijua yeye Cha muhimu ni ushindiRaisi aliyeweka rekodi ya kulialia wakati wa vita.Haijapata kutokea.