- Thread starter
- #21
Ile nchi ni failed state mkuu wanajeshi wengi walikuwa mamluki wa taliban ndio maana mkuu wa jeshi alifutwa kazi
Hahaaaa!!AU hata isipowatambua hao itawapunguzia nini?!tena zamu hii mbona wameteka miji kwa ustarabu tu?!!kwani hakukuwa na upinzani mkubwa, kama rais wa nchi amekimbia, huyo mwanajeshi anapigania nini? Hakuna mauaji makubwa yaliyofanyika, na kulikuwa na makubaliano na USA, kuwa wao wanaondoka hivyo, hivyo wasingetaka kuona wanashambuliwa wakati wanatoa watu wao na kweli hadi sasa, wao USA, wako busy kutoa watu wao wanaowahusu na hadi sasa uwanja wa ndege wa KABUL, uko chini ya majeshi ya nje!!!UN, kwa sasa hana la kufanya, zaidi ya kuwaacha tu waunde serikali yao, na USA, ameshasema pesa zote za serikali ya Afganistan, zilizoko USA, hawatazitoa kwa watalibani!!!wao washirika wako ni RUSSI, CHINA na Uturuki.