Dunia kuwachekea Magaidi wa Taliban kuvamia Ikulu itakuwa na madhara makubwa

Nashukuru kwa katibu mkuu wa UN kuitisha mkutano wa dharura na kukemea hili jambo japo wametumia lugha laini sana ni kama wametoa baraka kwa magaidi ya taliban kuingia ikulu kwa unyang'anyi

Namshukuru balozi wa kudumu wa umoja wa mataifa nchini Pakistan amekemea vikali huu upuuzi wa watu wasiostaarabika kuanzia akili mpaka mazingira yao

Nasikitika sana mataifa makubwa km USA na UK na Russia wanazungumzia kuondoa raia wao tu lakini hawayakemei haya magaidi ya taliban

Kwa siku ya jana tu toka magaidi yateke ikulu kumeanza kuripotiwa uvunjifu wa haki za binadamu kama mauaji ya kulipiza kisasi nk
Km mbakumbuka kipindi haya majamaa yalipokuwa yakitawala serikali zote duniani ziliyakataa isipokuwa nchi moja au mbili za kiarabu zisizostaarabika.

Yalikuwa yamekataza watoto wa kike kusoma,yalikataza kuangalia tv na cinema imagine hawa magaidi wanata nn

Hawa wajinga wanapigana wamevaa makobas bado tunawachekea eti wanapigania dini

What a shame dunia inaelekea wapi?

Umoja wa Afrika inatakiwa itoe statement ya kutoitambua hii Serikali ya magaidi.
Gaidi ndan ya nchi yke
 
Hilo ndilo unawaza tu, watu wengine sijui mnejaza nin vichwan kwenu mbadala wa ubongo
Female journalists returned to work on the second day of the Taliban rule. So far, women are seen conducting live broadcasts from the streets of Kabul. Traffic is back to normal and Taliban is patrolling the streets. People are going back at work. https://t.co/EoEdUNykBM
 
Yalitolewa kwasababu yalikuwa magaidi, yalikuwa yanaua wasio na hatia,walikataza wanawake kwenda shule, wanabaka Watt ndio mnafundishwa ivo
We huna akili kabisa mbona miaka 20 iliyo pita hao Taliban nao walitolewa ikulu
 
Hiyo nchi imeshindikana; ni kuyaacha yauwane labda yatatia akili. Statement ya kwanza yalipoingia Ikulu ni kuwataka wanawake wote walioajiriwa kuacha kazi mara moja na kubaki majumbani!

Yaani Mama Samia anatakiwa abaki nyumbani kwa mumewe mara moja! Akili matope?
Acha uzushi kilaza wewe

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Hawa Taliban wa sasa mpaka mvinyo wanakunywa, hawana shida sababu wameyakubali mabadiliko ya kidunia.

Uoni wanajichukua video wakiwa Ikulu!
 
Back
Top Bottom