Kuna watu hawafikiri vizuri. Chuki zao binafsi dhidi ya marekani zinawafanye wawe na ndoto halisia za kuona marekani imefutika. Hawapendi kuwaza na kufikiri kiuhalisia. Historia tu inakataa kabisa dunia kukaliwa na nchi mbili au zaidi super power. Haijawahi kabisa kutokea. NK anavumiliwa tu ili kuepusha majanga na gharama kubwa za vita hasa baada ya vita. Wakubwa wakimwamulia hats hizo ICBM hazitaruka, zitaharibiwa hapo hapo NK.
Mpaka sasa hakuna viashiria vinavyoonyesha kuwa marekani ita-collapse soon zaidi tunaiona ikiimarika kila Siku hivyo itakuwepo sana kwa muda mrefu.