Dunia isimdharau Kim Jong-un

Dunia isimdharau Kim Jong-un

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
16,252
Reaction score
16,171
Ana technologia ya kufa mtu ambayo mataifa yote duniani yanaitafakari. Kim sio mpumbavu kumbwekea Marekani vile. Huyu jamaa inasemekana ana uwezo wa kuzima satellites zote angani zinazoendesha mifumo yote ya ki-eletronic duniani ikiwemo ile ya bwana mkubwa wa Lushoto.

Anaweza kusababisha nyambizi na ndege za bwana mkubwa zikajam zote.

Tusishabikie vita ya Korea na majirani zake na Marekani inaweza kuiyumbisha dunia nzima.
 
Yaania eti unasema INASEMEKANA?maana yake ni story ya vijiweni.nenda kamdanganye uje uone atakavyofumuliwa.inachokiepuka America ni kuingia gharama za kuhudumia wahanga baada ya vita maana dunia yote itasema wawalipe na kuwauguza na kurudisha miundo mbinu.ukiisikia America hiyo ni tishio
 
Hahahaha... Hata kama ni uzembe wa Kufuatilia mambo na historia ya Dunia siyo Kwa kiwango cha kuamini Korea Kaskazini inauwezo wa Kuzima Setelite zote angani!!!!.....

Kulingana na ukuaji wa Teknolojia Kwa sasa nchi Tishio Duniani kwa Teknolojia za Surprise ni ISRAEL,USA,RUSSIA,CHINA,...hao akina NORTH KOREA ni KIBURI CHA UTHUBUTU na kinga za Kaka zake Mabaunsa akina Uchina na Urusi.

Siombei Vita lakini ukweli nikwamba ikitokea USA akaliamusha Dude kumpiga kiduku na nchi nyingine isiiingilie.....yaan wapigane wawili tuu....na kila mtu aruhusiwe kutumia uwezo wake to the maximum NORTH KOREA ITACHAKAZWA NDANI YA MASAA MAWILI TUU...mengine itabaki historia.
 
Ushabiki mpaka kwenye vita we bwana mkubwa weweee.
 
THAT ZIONIST EVIL WANT WAR111 WAR TO USE STUPID AMERICAN TO GET TO RUSSIA CHINA TO DESTROY THEM AND AMERICA .AND THEN USE NUKES TO MIDDLE EAST TO MAKE JUST JEW BE IN THE WRLD ZIONIST EVIL INTERNATIONL TERRORIST DREAMS
 
Tarumbeta na huyo mad Dog Mattis wapuuzi tu

mipasho ya khadija kopa tuu... Hawana uwezo kabisa wa kumgusa kipanki.. kwanza kabisa tazama

Geographical north Korea kazungukwa na nani ama

nchi ngapi ndoo utapata full picture...ya hii Korea peninsula crisis
 
THAT ZIONIST EVIL WANT WAR111 WAR TO USE STUPID AMERICAN TO GET TO RUSSIA CHINA TO DESTROY THEM AND AMERICA .AND THEN USE NUKES TO MIDDLE EAST TO MAKE JUST JEW BE IN THE WRLD ZIONIST EVIL INTERNATIONL TERRORIST DREAMS

Lugha gani hii kuu?? Is this English, Germany or Russian?? Soma tena ulichoandika au mwombe mwanao wa darasa la 6 akuandikie.
 
Screenshot_20170926-202537.png
 
Yaania eti unasema INASEMEKANA?maana yake ni story ya vijiweni.nenda kamdanganye uje uone atakavyofumuliwa.inachokiepuka America ni kuingia gharama za kuhudumia wahanga baada ya vita maana dunia yote itasema wawalipe na kuwauguza na kurudisha miundo mbinu.ukiisikia America hiyo ni tishio
Iraq ameshalipwa?
 
Back
Top Bottom