ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,065
- 61,398
Sema we mdada juzi niliota ninataka kukujia Pm kuleta tongozo ila nikapitia thread zako Kuna moja unaomba ushauri mumeo yupo mwanza we upo iringa nikakata tamaa..nipe maelekezoYou are so too late to know Abt that[emoji468][emoji468][emoji468][emoji468]
Utakata tamaa na mengi sana Tena zaidi ya hilo mkuu.Sema we mdada juzi niliota ninataka kukujia Pm kuleta tongozo ila nikapitia thread zako Kuna moja unaomba ushauri mumeo yupo mwanza we upo iringa nikakata tamaa..nipe maelekezo
Umeisha sana mkuu, huo ndio ukweli haya mambo yalikuwepo toka kitambo tu maana hizi beer hazijaanza kutengenezwa leo wala hizi pisi.Nlishawahi waza kuwa dunia asa hivi ina dhambi sana nikatafakari....kumbe miaka ya nyuma nilikuwa mdg sikuwa najua mengi(i was innocent) ndio maana nkawa naona dhambi chache... kwahiyo
Kama hivyo kulewa na kula mbunye 24/7 wajuba walikuwa wanafanya toka zaman sema ulikuwa too young & innocent to notice
Hakuna jipya
Hakuna jipya mkuu. Watu wamechakatana tangu sodoma na gomorah, wengine walimlewesha hadi baba yao wakandinyana nae. Na hayo yote yametokea hata kabla ya kuanza kuhesabu miaka.Siku hizi ukitongoza wadada watano Basi una uhakika wa kukaza wanne.Zamani kutongoza tu ilikuwa mtu unaogopa yaani mpaka uje kumpelekea mdada Moto Basi umehenyeka miezi na miezi.
Zamani pombe ilikuwa wanakunywa wazee tu vijana wachache TU ungewaona wakinywa pombe ila siku hizi watu tunamwagilia mioyo mpaka sio poa.yaani kila siku NI ma vibe tu ya kichina hakuna Cha weekend mpk siku za kazi watu mpaka tushafanana na bia.
Sio poa ukienda tik tok na Instagram ndo utakutana na watu waliovurugwa yaani kila mtu anajikuta msanii mambo NI mengi asee Kama TU yanaofanyika public yanatisha je yanayofanyika sirini??
Yakawaida hayo,Bado hatujafikia kiwango Cha uovu wa sodoma,kipindi kile,watu walitaka kubaka maraika!!Siku hizi ukitongoza wadada watano Basi una uhakika wa kukaza wanne.Zamani kutongoza tu ilikuwa mtu unaogopa yaani mpaka uje kumpelekea mdada Moto Basi umehenyeka miezi na miezi.
Zamani pombe ilikuwa wanakunywa wazee tu vijana wachache TU ungewaona wakinywa pombe ila siku hizi watu tunamwagilia mioyo mpaka sio poa.yaani kila siku NI ma vibe tu ya kichina hakuna Cha weekend mpk siku za kazi watu mpaka tushafanana na bia.
Sio poa ukienda tik tok na Instagram ndo utakutana na watu waliovurugwa yaani kila mtu anajikuta msanii mambo NI mengi asee Kama TU yanaofanyika public yanatisha je yanayofanyika sirini??
Watu walidhani ISIS ndo wamefanya unyama na ukatili wa kutisha katika historian ya ulimwengu kumbe ISIS Cha mtoto ukilinganisha na Karne zilizopita.Nlishawahi waza kuwa dunia asa hivi ina dhambi sana nikatafakari....kumbe miaka ya nyuma nilikuwa mdg sikuwa najua mengi(i was innocent) ndio maana nkawa naona dhambi chache... kwahiyo
Kama hivyo kulewa na kula mbunye 24/7 wajuba walikuwa wanafanya toka zaman sema ulikuwa too young & innocent to notice
Hakuna jipya
Boss...mti huanzia chini...kubali matokeo.Siku hizi ukitongoza wadada watano Basi una uhakika wa kukaza wanne.Zamani kutongoza tu ilikuwa mtu unaogopa yaani mpaka uje kumpelekea mdada Moto Basi umehenyeka miezi na miezi.