Right Marker
Senior Member
- Apr 30, 2018
- 194
- 624
"Dunia inazunguka, na wewe unazungukwa"
Muda huu rafiki yako wa shida na raha yupo kumsisitiza mpenzi wako kuwa jambo lao liwe siri wewe usijue.
Kwasababu kama wewe utagundua..
✓ Urafiki wenu utavunjika (wewe na rafiki yako wa shida na raha),
✓ Uhusiano wenu utavunjika (wewe na mpenzi wako wa maisha).
Naye mpenzi wako anamuahidi na kumhakikishia rafiki yako kuwa aondoe shaka siri itatunzwa kamwe wewe hutojua abadani. Shetani yupo kulipalilia penzi zito linaloendelea kati ya rafiki yako na mpenzi wako.
RIGHT MARKER
DAR ES SALAAM