Kiungo mchezeshaji matata sana.. mafoward wapige goli za kutoshaFursa inapatikana popote mzee baba...
Kuna madomo zege na kuna Malaya hapo kati kati inabidi apatikane kiungo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28]Mkuu umalaya ni biashara kongwe sana, dunia bado iko kwenye kasi ile ile
Yaani kuna wakati unakaa unawaza maisha yako jinsi unavyoishi hapa dunia,.ukisikia majambo kama haya unapata shida kuelewa,."inakuwaje"etii..unaweza dhani ni stories tuu..dah!!!
Asee,.Mungu aturehemu sana sana sanaa!!!
Ameen... (Ombi lako liitikiwe kabuli) umma Huu !!Yaani kuna wakati unakaa unawaza maisha yako jinsi unavyoishi hapa dunia,.ukisikia majambo kama haya unapata shida kuelewa,."inakuwaje"etii..unaweza dhani ni stories tuu..dah!!!
Asee,.Mungu aturehemu sana sana sanaa!!!
Unatakaje?? ColiiIle 69 vipi bado nauliza
Unatakaje?? Colii
Yaani haya mambo yasikie tu,ukija zakhem kuna bar moja onaitwa evalist,hapo ukifika kuna wana wanagonga konyagi tu za offer wao ni madalali kwa demu yeyote pale utakaye muona,huwezi amini ila ndivyo ilivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo mengine wala sio knowledge is power😄Unajua knowledge is power embu nipe knowledge is power
Kwa kweli .....namshukuru mungu Sina mambo mengi sana naomba niendelee kua hivi hivi ...hii dunia ilipofikia ni balaaYaani kuna wakati unakaa unawaza maisha yako jinsi unavyoishi hapa dunia,.ukisikia majambo kama haya unapata shida kuelewa,."inakuwaje"etii..unaweza dhani ni stories tuu..dah!!!
Asee,.Mungu aturehemu sana sana sanaa!!!