Dunia inaelekea mwisho sasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dunia inaelekea mwisho sasa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ney kush, Apr 30, 2012.

 1. ney kush

  ney kush JF-Expert Member

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 1,195
  Likes Received: 377
  Trophy Points: 180
  mmama mmoja songea mjini amejifungua mtoto katika hospitali ya mkoa lakini si kama tulivyozoea mtoto huyo ana pungufu moja nalo ni sehemu zake za siri zipo tatu yani za kiume mbili ya kike moja lakini pia sehemu ya kike na ya kiume zimekaa kichwani halafu moja ya kiume ipo kama tulipopazoea yani katikati ya mapaja..... yote ni mipango ya Mungu
   
 2. S

  Song'ito JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  kaz za muumba hizo..... wakati mwingine kama wewe ni mzazi unaweza kusema kwa nnmungu amekufanyia hivyo... ila nijuavyo mm ni kwamba, "GOD WORKS IN MYSTERIOUS WAYS". Hakuna jambo alitendalo bila sababu
   
Loading...