Dunia ina Watu takribani bilioni 2, je siku ya Hukumu Mbinguni Mwenyezi Mungu atatujaza katika Uwanja gani tuenee?

Maswaki mengine mhhh! Ila jwa sababu umeuliza utajibiwa tu.

Ni hivi hapo hapo utakapokuwa ndipo adhabu ya moto itakapokutokea.

Usisahau kwamba ili uishi unahitaji hewa ya Oxygen. Lakini pia ni hewa hiyo hiyo inayosababisha moto uwake.

Kwa hiyo kwa Mungu atakachokifanya ni kuongeza kuusogeza tu moto ambao utarutubishwa ndani ya mtu na oxygen anayoivuta hivyo kuteketea kabisa.

Hapo utaona kwamba hoja si ukubwa wa uwanja bali je unavuta hewa ya ojsijeni inayosababisha moto kuwaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Assume mpaka cku ya hukumu kunakuwa na watu bilioni kumi wanaotakiwa kuhukumiwa, vile vile assume kila mtu atasikilizwa kwa dakika 3. Itachukua dakika bilioni 30 kuhukumu watu wote! Hii ni sawa na masaa milioni 500, zaidi ya siku milioni 20 sawa na miaka 56,000! Na hii ni kama atapiga non stop! Akipumzika tu miaka inasogea
 
Miaka nenda rudi tumekuwa tukiambiwa kwamba ikifika siku hiyo ya hukumu kila mtu atawekewa "mkanda" (yaani kama mkanda wa video) kuonyeshwa dhambi zake zote alizotenda katika maisha yake ili yeye na wengine wote waweze kuona kwamba katika kumhukumu haki imetendeka. Sasa "mkanda" (sijui DVD) hiyo itachukua wiki ngapi hadi kumalizika huku watu wakisubiri mikanda au movie/DVD za watu wengine tena wenye "mikanda" mirefu zaidi na zenye kila aina ya "action" kali kali kudhihirisha maovu yote waliyotenda duniani.

Yaani haya mambo ukitaka kuyachunguza sana jiandae kuumia kichwa na hautapata majibu ya uhakika. Kila mmoja atakuja na jibu lake.
 
hao watu bilioni 7 waliopo sasa hivi..wakipanga foleni hii tz tu haijai
 
dakika na saa ni zako..zinafuata mzunguko wa jua,kiama jua hakuna..
 
hao watu bilioni 7 waliopo sasa hivi..wakipanga foleni hii tz tu haijai
 
hao watu bilioni 7 waliopo sasa hivi..wakipanga foleni hii tz tu haijai
 
Mbona umesimplify sana kujenga hoja mkuu?

Nani amekueleza leo ndiyo siku ya kiama, kwa mujibu wa idadi ya watu uliyoitoa, tena ikiwa chini kitakwimu?

Ungeliwaza kwanza kuwa, watakao simama kuhesabiwa ni kuanzia Adamu, mpaka siku hiyo 'pendwa' itakapowadia na haijulikani itakuwa lini!

Kumbuka hakuna mtu atakayesimama kuhesabiwa akiwa hai hajaonja mauti.

Labda ungehoji kuwa mbingu ina ukubwa kiasi gani kuweza ku accomodate watakatifu wote bila kuwa na mgogoro wa makazi?

Hilo la kwanza, jambo la pili ni kwamba Mungu hana mwanzo wala mwisho.
Hivyo basi, kiama unachokitarajia wewe huenda kikawa cha mara trillion na ushee kwa dunia za jinsi ya hii tuliyonayo kuwa zilikwishapita na zingine zinatarajiwa kufuata baada ya hii ya kwetu kupita!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rekebisha takwimu hafu katika idadi ya watu Bill 7 toa takriban Bill 3 ambao ni waislam na wakristo wanaoamini kuna hukumu siku ya mwisho waliobaki 4 Bilioni wanaamini kupitia dini zao kuwa hakuna hukumu wala kiama wala siku ya mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gentamycine we rudi kwenye story za Bolingo huko ndo unapatia zaidi, naomba historia ya Defao na Kundi LA Loketo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biblia inasema baada ya kifo ni hukumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaishi kwenye chumba cha kupanga. Halafu kajaza matakataka ndani.

Anazani mungu nae anamiliki ka room kama kake.

Hapa tulipo kwenyewe ni kwake kuna watu zaidi ya b7 na bado hatujapamaliza.
 
Hi dunia kama sisimiz tu kwa Mungu : mfano mdogo ukitaka kuamini panda ndege then angalia chini ;utaona ghorofa kubwa kama size ya kiatu chako ; na zaid chin kunaoneka kama rough surface isiyo na kitu chochote ;

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…