City hunter j
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 926
- 380
Mbaya zaidi ye mwanaume.sijui nilihitaje hili 2kio.keki nzima ameona hapo 2 ndiy pa kung'ata kwel
astaghfirulah
Mbaya zaidi ye mwanaume.
Dunia imekwisha...yaani watu wanakosa hata aibu maasi nje nje....
Kwani jamani si keki! mwenyewe kapapenda hapo... labda yupo sawa na dada zake..