Ila kama anakula Karanga(ARV) ambukizi tena so relax.na usiwe na ofu...Juzi tu hapa JF kuna mdada alikuwa anasema kuwa kaka ake alipata mrembo mmoja wa JF ila alikuwa anakula Dawa kisiri siri wakiwa wanakula bata Bwagamoyo jamaa akashtuka na kumbamba na dawa za kuzuia makali ya HIV... ni hivi usjione mjanja na wala usifurahi maambokizo ya wengine...Ukweli familia nyingi azipo sawa..Mama yupo bize na kazi pia na baba...watoto wanalelewa na house girl na house boy.mfano sasa familia zina physical address 2 dodoma na Dar au kwingineko Baba / Mama peke yao kwa miezi 3 au 6 aiwezekani... na watoto wetu wanapevuka mapema...mama ana tembea na house boy,Baba anatembea na House Girl
.binti zetu je???Tusali na kuomba na wala wewe usijione sio sehemu ya HIV just pray and ask God to help you not to be part of TACAIDS Database..kwa akili zako na hivyo vikondomu vinavyokuziba robo ya uchi@ wako na mchana ulivaa Jeans umechubuka mapaja na baada ya bao moja unalala bila kijisafisha Usiwe na furahaaa wala usinyanyapae....[emoji257][emoji257].Kristu mfufuka atujalie huruma na upendo wa Mungu wa kweli.[emoji120][emoji120][emoji120]