Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,445
Hapa jamaa ata laumiwa hadi kesho,ila story haija kamilika!
Like,huyo baba alikua ana taarifiwa kuhusu misiba?
au
Wanaishi karibu kiasi kwamba msiba ukitokea tu atafahamu?
au
Labda na yeye kesha kufa!
kuna maswali mengi kabla ya kumlaumu mzee wa watu
Mi naona huyo baba alikuwa hapati taarifa za msiba.
Lakini si walisha achana bado kuhudhuria au kuto hudhuria msiba ni hiari ya mtu na si lazima.