Dunia ina mambo!!!!!!!!

Vitendo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2009
Posts
582
Reaction score
104
Kweli dunia ina mambo toka Kitambo!!!
 
Huyu dada atakuwa lazima ni CCM.

 
Si bure hapo yupo kazini, maana ndio ajira yake hiyo
 
wanachukuwa fotoz ya ile mahala inavyo vuja jasho ka mikojo - hahaha
 
Yaani wako Busy utafikiri hawajawahi kuiona
 
hahahahahahahahahahahhahaha, ngoja nicheke kama avatar yangu ilivyooooooooooo, maweeeeeeeeeee uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
tena si haba,,,,, kwani wamepoteza nini huko na vimuli muli vyao?
 
hahaha mwishowe katapauka/sinyaa na mianga ya camera mnh :A S 13::wink2:
 
Kweli dunia ina mambo toka Kitambo!!!

Mn! nafikiri wenye kamera wasingepoteza muda wao na aina ya kufuli, pengine haipo hivyo kufanya kamera zitumie zoom kufika hukooooo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…